Shujaa ni nani??

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Naomba kujuzwa maana ya shujaa katika jamii yetu?maana kuna anayefanya mema anaitwa shujaa kuna anayefanya mabaya naye huitwa shujaa mifano ipo ya pande zote je kama Gadafi ni shujaa na Mobutu ni shujaa? Vipi mandela, Osama sadam ,samwel Do, san Abacha ,mugabe,G. bush,Hugo chavez,DALAI LAMA..mkwawa na wengine hii maana ya ushujaa imekaaje kwao?
 
Shujaa wako wewe anaweza kuwa ghaidi kwangu. Unajua neno shujaa ni kivumushi cha sifa kinachotegemea sana perception ya mtu. Wengi wa uliowataja hapo ni maghaidi lakin jamaa wa upande wa pili wanasema hao ni mashujaa, mfano Ghadafi, JK. One man's terrorist is another man's freedom fighter...
 
nimekupata mkuu kwa hiyo inategemea jamii husika na mtizamo wao kuhusu shujaa ,Je yupo shujaa anaekubalika na pande zote?
 
Naomba kujuzwa maana ya shujaa katika jamii yetu?maana kuna anayefanya mema anaitwa shujaa kuna anayefanya mabaya naye huitwa shujaa mifano ipo ya pande zote je kama Gadafi ni shujaa na Mobutu ni shujaa? Vipi mandela, Osama sadam ,samwel Do, san Abacha ,mugabe,G. bush,Hugo chavez,DALAI LAMA..mkwawa na wengine hii maana ya ushujaa imekaaje kwao?

Shujaa ni yule anayeibuka na ushindi ktk pambano fulani, lakini anayediriki kushiriki pambano ni jasiri
 
Back
Top Bottom