Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 353
Ni kichekesho kulinganisha timu ya mpira wa miguu ya England na Tanzania. Wachezaji wa England ni full time professionals, they are all finished articles-kinachotakiwa kwao ni tacticts tu,na hapo ndio kocha anapoingia- timu ikishinda sifa zake zote, ikichemsha anaonyeshwa exit door. Ongelea soka yetu ya bongo- hii bado ni amateur na mwalimu yoyote anafundisha timu hiyo ana kazi kubwa kwelikweli- anaanzia chini kabisa, aanze kuwakimbiza, awapigishe push ups wagain fitness,awafundishe kucheza mpira (this is serious),awapangie diet, etc- mambo ambayo wenzetu wanayafanya kwenye club level, wakikutana kambini ni mambo ya kiufundi tu. On top of that kuna budget constraint- hawezi kutekeleza plans zake zote kwa kuwa TFA haina hela za kutosha.Kocha akifeli England there is no doubt anadeserve kuwa sacked kwa kuwa facilities zote zipo lakini you can not say this should apply to Bongo, bado sana.Timu ya england ni sawa na msosi ambao umeshapikwa tayari- inategemea tu mhudumu atau serve vipi mezani lakini katimu ketu ka Tanzania ni kamsosi ambako bado kanapikwa jikoni na mpishi hana ingridients zote zinazohitajika- if something goes wrong here kwenye hizi scenarios mbili huwezi kutoa adhabu sawa kwa wahusika.