Should CHADEMA Fire Zitto?

Should Zitto get FIRED from CHADEMA?

  • YES

    Votes: 137 65.9%
  • NO

    Votes: 57 27.4%
  • May be

    Votes: 10 4.8%
  • I don't know

    Votes: 4 1.9%

  • Total voters
    208
Status
Not open for further replies.
Ahojiwe...ila tuhuma tu hizi zinamfanya ajitafakari...Amehusika na kundi la uasi...alikua anajua movement hii na hakufanya lolote kuizuia.....Ana kesi ya kujibu
 
so mnafundishana kuwatoa sadaka wale wanaowapa changamoto katika mapambano ya frontlyni?pua pipo mind!!!!unajua kuna watu ambao hatufungamani na upande wowote lakini tunapenda kuona mabadiliko katika mifumo ya kiutawala na tulishaanza kuiamini cdm but for what z going on pale cdm kwa sasa tunapata mashaka sana.kama kasamaki kadogo mnakagombania hivyo mkipewa lijisamaki mtasalimika kweli?yetu macho!!!
 
Kamanda,

For a civilized person once you are involved in anything contradicts or brings confusions to your group, you have to go. We are talking about persnal responsibility. We don't need physical evidence for this. HIS TIME IS UP. Either you like it or not-

You wil be an idiot to do that, especially by needing no evidence as you have said above.Really idiot.
 
Mimi naitwa theROOM, mwananchi wa kawaida nisie mfuasi wa chama chochote.

ZZK haaminiki na hatokuja kuaminikana hatakiwi kuaminika...its simple.

Look at his moves, his health,his words..its full of contradictions...ukimwangalia ZZK ana stress kama alivo EL. hii ni kwa sababu he has too many agendas..mara urais mara lecturer mara ninii...yaani this guy is overloaded and very selfish..

BUT,He knows what he is doing n he knows it well deep down his heart. And he knows it is EVIL..he knows it well..ZZK has no peace,he is extremely careful to every move he makes...

Lkn kuna kitu kimoja viongozi wengi wa nchi hii hawajajua..Watz wengi ni waelewa sana.Sio wale wa miaka ile....wanao uwezo wa kukupima na kukukataa upright....

ZZK HAPASWI KUAMINIWA TENA...

nimejua sasa who is zzk na huenda hata ile move ya waziri mkuu aliambiwa aifanye na ccm. thanks jf hakika jf ni antivirus boora kabisa kuliko mcafee. ni muda tu then unafunuliwa. Mungu ibariki jf ,mods wote wadau wote na members wute wa jf
 
Kama alimpigia JK kampeni,basi hata kwenye hiyo m4c hawezi kwenda,kwasababu,principaly,he doesn't believe in changes.Mtu aliyemkampenia JK mnamwita eti mpinzani?kamanda wa mabadiliko?gimme a break on this!huo ni utofauti wa kimsingi kabisa,it is a fundemental issue!halafu hilo linaonekana ni la kawaida,ama pia linafumbiwa macho...bongo kuna vituko sana,there is a big and a serious problem somewhere that chadema needs to fix it.

Tamaa za madaraka mbaya sana,mtu akitaka kupanda juu hajali ni kitu gani anakanyagia chini kwenye process,almuradi matamanio yake yamefanikiwa.

na kampigia kampeni kafulila kisa marafiki
 
jamhuri huru ya kaskazin naona sasa inatafutwa kwa kasi."an enemy of the party soon will be kinyume chake"
 
Kamanda,

For a civilized person once you are involved in anything contradicts or brings confusions to your group, you have to go. We are talking about persnal responsibility. We don't need physical evidence for this. HIS TIME IS UP. Either you like it or not-

Mkuu,

It is not about wether i like it or not, it's about political maturity and integrity of CHADEMA welfare for the nation. It's illogical ..really illogical firing someone just because of contradictory activities. What does rhe person has to say about that, what is the opinion(members opinion as large) about the matter, not because of grugde, hatred or so but because of one of your own(i.e CHADEMA member) ruling out all evidences out, critically.

Have you heard anything of the ongoing saga in ruling party media? Why do you think so? Do you think they have nothing to say/speculate or so?..they are waiting for the right time..and if CHADEMA members wont be keen enough, time will come, and that time is soon when they will say "we told you so".

There are members who like CHADEMA b'se of ZZK(ofcourse it's ignorant, but bear with them), by firing him loss of members would be at stake, did you think about that?

My take is that; Suspense is there, will always be there..this was even during fight of Independence.But trust and hope and vigilance can surpass it.

Think back of the time you built Trust among Tanzanian citizens(within and beyond our borders), success, expectation of TZ citizens from you, and how determined you were since you started the race, and today you are almost at the climax, and here comes drama.If you think of all these, when you did in peace, humility maintaining your dignity and see it doesnt worthy it, then green light is to the drama and blunder you want to perform.

There's swahili saying "kimya kingi kina mshindo mkuu", believe me CCM is happy(though they cant say it, been quiet thru media) so it is either you disappoint them(By sticking together as before), or give them what they expect from you..A fall. Now here we have a choice to make, i opt for the earlier than the latter.
 
Great inputs, at the moment he should be suspended before the verdict. Hope you had a change to go through Ben Saanane's last thread. There are times hard decisions have to be made. This is the time. Zitto has to take responsibility for the whole saga. I believe he is the bad guy here. TURN HIM LOOSE. CHADEMA WAS THERE BEFORE ZITTO, IT HAS BEEN HERE WITH HIM AND IT WILL BE AFTER HE IS GONE. His time is up.

QUOTE=hippocratessocrates;5271498]Mkuu,

It is not about wether i like it or not, it's about political maturity and integrity of CHADEMA welfare for the nation. It's illogical ..really illogical firing someone just because of contradictory activities. What does rhe person has to say about that, what is the opinion(members opinion as large) about the matter, not because of grugde, hatred or so but because of one of your own(i.e CHADEMA member) ruling out all evidences out, critically.

Have you heard anything of the ongoing saga in ruling party media? Why do you think so? Do you think they have nothing to say/speculate or so?..they are waiting for the right time..and if CHADEMA members wont be keen enough, time will come, and that time is soon when they will say "we told you so".

There are members who like CHADEMA b'se of ZZK(ofcourse it's ignorant, but bear with them), by firing him loss of members would be at stake, did you think about that?

My take is that; Suspense is there, will always be there..this was even during fight of Independence.But trust and hope and vigilance can surpass it.

Think back of the time you built Trust among Tanzanian citizens(within and beyond our borders), success, expectation of TZ citizens from you, and how determined you were since you started the race, and today you are almost at the climax, and here comes drama.If you think of all these, when you did in peace, humility maintaining your dignity and see it doesnt worthy it, then green light is to the drama and blunder you want to perform.

There's swahili saying "kimya kingi kina mshindo mkuu", believe me CCM is happy(though they cant say it, been quiet thru media) so it is either you disappoint them(By sticking together as before), or give them what they expect from you..A fall. Now here we have a choice to make, i opt for the earlier than the latter.[/QUOTE]
 
watanzania wengi tuwavivu WA kufikiri,akili zetu zimeganda na wengi wetu tunakosa hata common sense, naona wanaccm wenzangu wengi wanawakilisha hilo kundi kubwa la watz wavivu akilini. jamani kamati kuu mgeongeza msukumo kwa watendaji WA serikali kuanzia rais hadi kijijini. tujifunze kwa ANC.
wakulima WA Pamba wanadhurumiwa,mbegu zao feki,mbolea feki,viuatirifu feki. vyote vyapelekwa na makampuni ya viongozi na wabunge wao. pia wabunge wao wanaotakiwa wawatetee ndo hao wanamiliki kampuni zinazonunua pamba. ccm wanatakiwa manusulu kilimo cha Pamba ili kutoongeza kanda tegemezi, achilia kanda ya kati.
tufanye hayo kama chama Ili kuwasaidia watanzania na kuendelea kutawala kwa ridhaa yakweli ya watanzania. ila hii ya kukaa vikaoni hadi usiku kila siku kupanga kuihujumu chadema bila kupanga kutumikia wananchi kikamilifu tunaiua nchiyetu, hizi blabla tumuachie nape. Ila sasa naona nchi nzima watawala wameigeukia cdm, tutaiua nchi yetu.sasa kuna wimbi kubwa na vijana wasomi wanapanga kuhamia nchi nyingine,nchi inakufa jamani.
 
nimefautilia kwa makini ishu za zzk,hana tatizo cdm. kasoro yake ndogo nikutokumuangusha rais kikwete directly,kamwe hawezi fanya hivyo,lejea matukio mengi. pia nafurahi kikwete kamuacha free afanye siasa,anamuhitaji marachache amnusuru yeye binafsi,na wala cyo kuinusuru ccm. pia zzk hampi heshima stahiki mzee mtei,rejea komenti zao kuhusu tume ya katiba mpya.hilo ni tatizo Dogo,hatakiwi kufukuzwa,wala cdm hawajawahi fikiria kumfukuza,wala zzk hajawahi fikiria ondoka,cdm wanademokrasia sana. linganisha na vyama vya mbatia,Mrema na cheyo. Ila hao hawajawahi anzishiwa poll. ni wanaccm wenzangu tunaopoteza muda humu tukiamini cdm wanaamua kwa kufuata wanamtandao.
wasystem ndo wanamtumia kutaka ivuruga chadema. sasa wanaccm wenzangu hamjawahi wapigia kura waasisi WA CCJ, wote wamelamamba vyeo. sipati picha kama wangekuwa wanacdm.
bado nafuatilia ishu ya zzk na Islam cdm.nilichogundua hiyo tokeni kamwe haitumiwi na wananchi. ni kete ya wanasystem(nimeshakonfem),Ila bado nahisi kama zzk naye anaitumia kwa I'd nyingi humu Ili kujitafutia huruma/sapoti kwa waislam(bado nafuatilia sijaconfemu).
 
Kuna haja ya kukusanya fact zote za hujuma alizofanya zitto kwa cdm na kuzileta kwenye mahakama ya nguvu ya umma kwanza tuzijadili kisha tumhukumu yeye na kundi lake...baada ya hapo Chama kimtimue kwa mujibu wa taratibu zilizoko! Vijana wa Kiislamu wenye uzalendo wa kweli tuko wengi cdm! hatuwezi kuvumilia upumbavu huu wa kutugawa kwa misingi ya Ukanda, udini, ukabila ilihali Tanzania yetu inaendelea kuwa shamba la bibi...enough!!!
 
Nakubali mkuu,JK na ccm wanalaumiwa kwa udhaifu wa kutokufanya maamuzi magumu,naona sasa chadema is doing the same.
 
YES! YES! YES!

Nashukuru kuuleta huu uzi. Nilikuwa nimepanga kuanzisha uzi wa kuitaka Chadema kumchukulia hatua Zitto kutokana na mlundikano wa ushahidi unaomhusisha na usaliti kwa chama chake. Napenda niwakumbushe tuu kwamba Chadema hivi sasa iko kwenye mapambano. Mapambano ambayo ni ya kufa na kupona, kwa sababu serikali wanayopambana nayo haiko tayari kwa namna yoyote kuruhusu utekelezwaji wa demokrasia. Kwa hiyo, inahitajika commitment kubwa kwa Chadema kama chama cha mapambano ya kupigania uhuru.

Ikumbukwe nchi yetu ilikuwa na bahati upiganiaji uhuru haukuhusisha mapambano ya silaha au msituni. Zilikuwa ni busara za wakoloni na ukizingatia maslahi yao yalikuwa madogo hapa Tanganyika. Nchi kama Msumbiji, South Africa, Zimbabwe na Namibia ilibidi kuanzia vikundi vya kupambana na wakoloni hao. Katika vikundi hivyo, usaliti ilikuwa ni haramu, na yeyote aliye kuwa msaliti au hata kuhisiwa kusaliti, aliondolewa kwa upanga. Huo ulikuwa mwisho wake na onyo kwa wengine. Lakini kikubwa harakati ziliendelea bila kuteteleka kwa sababu, nia ilikuwepo, uwezo ulikuwepo, sababu ilikuwepo na waliungwa mkono na wanainchi. Zitto, hawezi kuwa ni tatizo la kuedekeza katika harakati hii muhimu. Ni msaliti, na msaliti ni nyoka ndani ya nyumba. Aondolewe mara moja ndani ya nyumba.

Kwa msisimko uliopo, unamtupilia mbali leo kesho anaibuka Zitto mwingine. Wapo wengi tuu.

Ikumbukwe, harakati ya Chadema siyo za mtu mmoja mmoja, ni movement ambayo hakuna wa kuizuia tena. Zitto ni tairi moja kwenye semitrailer, haliizui kutembea kama limepata pancha. Lakini kikubwa, hii ni movement; nani alikuwa anamjua kijana wa arumeru, Lema na wengineo! Kwa nini wanakubalika? Ni movement, vuguvugu, awepo mbowe, slaa au asiwepo hili ni vumbi wote tutalioga. Chadema isisite kuchukua hatua, hakuna kuogopa au kulala, Chadema ni vumbi la mbugani.
I voted Zitto to GO. Aluta continua.
 
Kama alimpigia JK kampeni,basi hata kwenye hiyo m4c hawezi kwenda,kwasababu,principaly,he doesn't believe in changes.Mtu aliyemkampenia JK mnamwita eti mpinzani?kamanda wa mabadiliko?gimme a break on this!huo ni utofauti wa kimsingi kabisa,it is a fundemental issue!halafu hilo linaonekana ni la kawaida,ama pia linafumbiwa macho...bongo kuna vituko sana,there is a big and a serious problem somewhere that chadema needs to fix it.

Tamaa za madaraka mbaya sana,mtu akitaka kupanda juu hajali ni kitu gani anakanyagia chini kwenye process,almuradi matamanio yake yamefanikiwa.

ACHENI MAWAZO FINYU!,
CHAMA KUBWA KM CDM HAWAWEZI KUWEKA KIKAO KUJADILI UJINGA,UZUSHI NA MANENO YA MTAANI,
CDM INAENDESHWA NA WENYE BUSARA PAMOJA NA SHERIA,
MWANAJESHI HAWEZ TETEREKA KWA KELELE ZA NDEGE PORINI ILI HUWA ANAKUA TAYARI NA KUSOMA ISHARA.

Jogoo hafi kwa UTITIRI
 
Hii thread niliianzisha wakati hatujui yaliyokuwa yakiendelea kiundani kuhusiana na masalia na uadui uliopo,imagine kama ningeianzisha wakati tayari nina taarifa zote ambazo zimebandikwa hapa kwa hizi siku mbili tatu zilizopita.

Lakini kama mtu una uwezo wa kufikiri,na kupambanua mambo,huna haja ya kupata details kujuwa kwamba mambo si mambo.Hayo unayoyaita ni uzushi yangekuwa na mashiko kama tusingezipata taarifa za kina Ben,Mwampamba,Shonza,Zitto,Mamuya na wengineo.

Tumia akili ili uweze kujuwa humu JF kuna hazina.
 
ETI NAYE ANAJIITA 'A PRESIDENTIAL MATERIAL'; HUU URAIS KWELI UMERAHISISHWA SANA!!

Hata ile hoja ya wenye fedha ktk benki za nje ni ya 'kijanja janja' hivi ili awasaidie hata kuziondoa au baadaye kuwasafisha wahusika. Si chochote wala lolote eti akasema ataenda Uswiz kufuatilia, kwa nguvu zipi? Yaani Zitto yeye ana nguvu kuliko hata serikali? Majigambo mengi na kiburi cha kuwadharau wenzake mwisho wake ni pwaa!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom