Shirika jipya la ndege kuanza tanzania

$20?!come on you cant be serious man sasa si itakuwa bora kuishi mza unafanya kazi dar kuliko Mbagala?let it happen


Precisely. Huyu Sir Stelios habahatishi. His business model is very sharp na hana over-head costs. M-pesa na wakina Tigo Pesa wangeanza kujipanga vizuri.
 
Dah nimeipenda sana hii.......maisha haya tumeyamisi sana....na nijuavyo mimi watanzania hawapendi kabisa tabu...watafanya sana biashara bongo.
 
Back
Top Bottom