Nadhani umefika muda wa kuongea ukweli na kuacha siasa kutawala mihimili yote ya kiutendaji! Ni jambo la kushangaza sana kuona kila kukicha shilingi inapoteza thamani, kwa wale wenzangu na mimi tulishuhudia wiki iliyopita thamani ya usd 1 ikinunuliwa tzs 1860.00, baada ya kuona mambo si mambo, central bank ikapop in dollars kuimprove mambo kweli ilishuka hadi tzs 1610, na hii ilikuwa siasa tu kwani pesa yetu ili ipate nguvu sio kwa staili moja tu iliyotumiwa na bot,jana tumefunnga na usd1=tzs 1810.00
,
tutaendelea kuteseka na shilingi yetu kupoteza thamani iwapo tutashindwa kujijengea uwezo wetu wa ndani, kama almost 70% ya mahitaji yote ya ndani lazima tuagize nje matokeo yake ni nini?? Na kama mtanzania au mgeni anaweza kupata huduma kndani ya tanzania kwa kutumia dollar, means we are increasing a demand of usd bila mantiki yoyote ya msging!na hii ni siasa ndo zinatufikisha hapo!!!!!!!!!!!!!