Shilingi elfu 7800 inatosha

maji ya gundu

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,046
4,608
Poleni na majukumu mabaharia,

Hiki ni kikao cha dharula kwa mabaharia wote, leo tumekutana tena naomba naomba tuijadili 7800 kwa kina

Napendekeza 7800 ndo iwe nauli rasmi haijalishi anatoka mwanza kuja dar au anaenda wap 7800 inatosha kabisa

Kutokana na uchumi kua mgumu 7800 ndo iwe kodi ya mezani akiipangilia fresh inatosha kabisaa muhimu ajue kujibalanca

Hela ya ada, ped sijui, saloon, na ujinga ujinga mwingine wote 7800 inafit kabisa watuachie ujinga wajifunze kubalance matumizi alaaah

7800 inakubali kabisa haijawahi kutuangusha mabaharia ama mnaonaje
 
Back
Top Bottom