Uchaguzi 2020 Shilatu: Lissu ana maswali ya kutujibu kwanza Watanzania

Tundu Lissu mmojawapo wa wagombea uchaguzi Mkuu 2020 ambaye anazunguka kuomba ridhaa. Watanzania tuna kila sababu ya kumuhoji Lissu maswali haya.

Lisu huyu ndiye yule aliyekuwa akiwatetea ACACIA kwenye suala la madini, kwanini aungane na waliokuwa wanaiibia nchi na kuanza kuwatetea? Akaenda mbali akawa anatutisha Watanzania kuwa tutashtakiwa wakati akijua wazi hatuwezi kushtakiwa, alikuwa akiyafanya haya kwa faida ya Watanzania kweli?

Wengine watasema ni haki yake, sawa ni haki yake tufanye. Ni haki sahihi kuwatetea wezi wa madini yetu? Ni haki kubariki kuibiwa na kuachiwa maandaki na umaskini na wanyonyaji wa rasilimali hizi?

Jambo jema yule aliyekuwa akiwatetea wezi wa madini yetu ndio huyo huyo anaomba ridhaa wakati ambao Dunia itashuhudia Oktoba 13, 2020 kampuni ya Barrick Gold ikitoa fidia ya gawio la zaidi ya Tsh. Bilioni 100 ambayo ni matunda ya mikataba ya madini na sheria zinazolinda maliasili na madini ya Tanzania.

Watanzania muulizeni Lissu mbona hatujashtakiwa kama alivyosema? Mbona aliosema wana haki ndio wanaotupa gawio la Mabilioni ya fedha?

Ni Lissu huyu huyu pasi na haya alishiriki kuhujumu ndege zetu ili zikamatwe, kwanini aliamua kuhujumu mali za Taifa? Ni kwa faida ya Watanzania ama faida ya Mabeberu anaowatumikia? Anaendaje kuomba kura kwa Watanzania aliowasaliti?

Lissu aendelee kutueleza nini maana yake kuwasimanga, kuwananga, kuwadhihaki Watanzania kuwa ni maskini wakati huo anawaomba michango ya kampeni! Mtu maskini na mwenye uchumi mbovu utamwombaje michango? Atatembezaje bakuli kwa Watu maskini?

Ni Lissu huyu huyu anaomba kupigiwa kura wakati yeye mwenyewe hajajiandikisha na hajaboresha taarifa zake kwenye daftari la Wapiga kura! Watanzania wampigie kura asiyeweza kujipigia kura?

Shilatu, E.J
Hoja za kijinga tulisha zizika kitambo maana wasaliti Ni wale walio saini mikataba na mabeberu
 
Mimi nafikiri swali la Kwanza lingekuwa ninani,au kwanini alidhulumiwa haki zake za msingi,ikiwa ni pamoja na ile ya kuishi ,kuhakikishiwa usalama wake na pia wakati Ana hoji vificho kaenye mikataba unayoisema ,mtetezi was wanyonge alikuwa wapi?
 
Tundu Lissu mmojawapo wa wagombea uchaguzi Mkuu 2020 ambaye anazunguka kuomba ridhaa. Watanzania tuna kila sababu ya kumuhoji Lissu maswali haya.

Lisu huyu ndiye yule aliyekuwa akiwatetea ACACIA kwenye suala la madini, kwanini aungane na waliokuwa wanaiibia nchi na kuanza kuwatetea? Akaenda mbali akawa anatutisha Watanzania kuwa tutashtakiwa wakati akijua wazi hatuwezi kushtakiwa, alikuwa akiyafanya haya kwa faida ya Watanzania kweli?

Wengine watasema ni haki yake, sawa ni haki yake tufanye. Ni haki sahihi kuwatetea wezi wa madini yetu? Ni haki kubariki kuibiwa na kuachiwa maandaki na umaskini na wanyonyaji wa rasilimali hizi?

Jambo jema yule aliyekuwa akiwatetea wezi wa madini yetu ndio huyo huyo anaomba ridhaa wakati ambao Dunia itashuhudia Oktoba 13, 2020 kampuni ya Barrick Gold ikitoa fidia ya gawio la zaidi ya Tsh. Bilioni 100 ambayo ni matunda ya mikataba ya madini na sheria zinazolinda maliasili na madini ya Tanzania.

Watanzania muulizeni Lissu mbona hatujashtakiwa kama alivyosema? Mbona aliosema wana haki ndio wanaotupa gawio la Mabilioni ya fedha?

Ni Lissu huyu huyu pasi na haya alishiriki kuhujumu ndege zetu ili zikamatwe, kwanini aliamua kuhujumu mali za Taifa? Ni kwa faida ya Watanzania ama faida ya Mabeberu anaowatumikia? Anaendaje kuomba kura kwa Watanzania aliowasaliti?

Lissu aendelee kutueleza nini maana yake kuwasimanga, kuwananga, kuwadhihaki Watanzania kuwa ni maskini wakati huo anawaomba michango ya kampeni! Mtu maskini na mwenye uchumi mbovu utamwombaje michango? Atatembezaje bakuli kwa Watu maskini?

Ni Lissu huyu huyu anaomba kupigiwa kura wakati yeye mwenyewe hajajiandikisha na hajaboresha taarifa zake kwenye daftari la Wapiga kura! Watanzania wampigie kura asiyeweza kujipigia kura?

Shilatu, E.J
Kabla hatujajibiwa na unaye mtaka atujibu,uwe wa kwanza kutujibu.
*Haya unayo yataka leo Lisu ayajibu yalitendeka chini ya serikali iliyo kuwa ikiongozwa na chama gani?
*Je leo serikali inayo taka tuipigie makofi licha ya kuto tupatia hata kile ilicho tuahidi wakati ikijinasibu kuyashughulikia ilikuwa ikiongozwa na chama gani?
*Je watanzania tunastahili kuomba fidia kwa chama husika kutulipa fidia ya hasara iliyo tusababishia na la,ikishindikana basi tukipumzishe kwa hasara hiyo?
 
Mimi huwa namfikilia Muhusika aliyewatuma wakamshambulie lissu kwa Risasi.

Kwa nini aliamua maamuzi magumu kiasi kile?????????
 
Mm sijaboresha taarifa zangu tangu uchaguzi wa 2015,lakini nimeangalia kwenye system ya NEC na kuona jina langu lipo kwenye list ya wapiga kura,sasa huyo Shilatu sio mnyama gani kwanini aseme Lissu hataweza kujipigia kura?
Namshauri mleta mada akashawishi mumewe na familia yake,sisi wengine hatuwezi sikiliza uharo kama huu,kura tutampa Lissu kwa namna yeyote ile.
 
Mzungu si mtu mzuri

Bado nasubiri Noah yangu sikati tamaa Hadi kieleweke
 
Nikikumbuka Lissu alitusaliti Watanzania machozi yananitoka

Kama sio Rais Magufuli Lissu angeiharibu Nchi

Lile tukio lilituweka wazi kabisa kwamba Tundu sio mwenzetu bali ni kibaraka wa mzungu
 
Tundu Lissu mmojawapo wa wagombea uchaguzi Mkuu 2020 ambaye anazunguka kuomba ridhaa. Watanzania tuna kila sababu ya kumuhoji Lissu maswali haya.

Lisu huyu ndiye yule aliyekuwa akiwatetea ACACIA kwenye suala la madini, kwanini aungane na waliokuwa wanaiibia nchi na kuanza kuwatetea? Akaenda mbali akawa anatutisha Watanzania kuwa tutashtakiwa wakati akijua wazi hatuwezi kushtakiwa, alikuwa akiyafanya haya kwa faida ya Watanzania kweli?

Wengine watasema ni haki yake, sawa ni haki yake tufanye. Ni haki sahihi kuwatetea wezi wa madini yetu? Ni haki kubariki kuibiwa na kuachiwa maandaki na umaskini na wanyonyaji wa rasilimali hizi?

Jambo jema yule aliyekuwa akiwatetea wezi wa madini yetu ndio huyo huyo anaomba ridhaa wakati ambao Dunia itashuhudia Oktoba 13, 2020 kampuni ya Barrick Gold ikitoa fidia ya gawio la zaidi ya Tsh. Bilioni 100 ambayo ni matunda ya mikataba ya madini na sheria zinazolinda maliasili na madini ya Tanzania.

Watanzania muulizeni Lissu mbona hatujashtakiwa kama alivyosema? Mbona aliosema wana haki ndio wanaotupa gawio la Mabilioni ya fedha?

Ni Lissu huyu huyu pasi na haya alishiriki kuhujumu ndege zetu ili zikamatwe, kwanini aliamua kuhujumu mali za Taifa? Ni kwa faida ya Watanzania ama faida ya Mabeberu anaowatumikia? Anaendaje kuomba kura kwa Watanzania aliowasaliti?

Lissu aendelee kutueleza nini maana yake kuwasimanga, kuwananga, kuwadhihaki Watanzania kuwa ni maskini wakati huo anawaomba michango ya kampeni! Mtu maskini na mwenye uchumi mbovu utamwombaje michango? Atatembezaje bakuli kwa Watu maskini?

Ni Lissu huyu huyu anaomba kupigiwa kura wakati yeye mwenyewe hajajiandikisha na hajaboresha taarifa zake kwenye daftari la Wapiga kura! Watanzania wampigie kura asiyeweza kujipigia kura?

Shilatu, E.J
Aisee uelewa wako ni mdogo !!!. Unasononesha

Kwamba wewe hujui waliogawa madini yetu kwa mikataba mibovu ya mrahaba wa 3% kwa miaka 100 huwajui ?!

Kwani hatukushtakiwa na mali zetu kukamatwa wewe hujui ?!

Kwamba makinikia tuliyohaidiwa Noah haziendi ?!. Wewe huelewi kitu
 
Back
Top Bottom