shetan wakati wa sex

king roja

Senior Member
May 4, 2012
141
7
jaman nina mpenzi wangu ana niham nimpe ki2 roho inapenda but soon ninapotaka kusex nae anapanda shetan. Nifanye nini c6z kumuacha sio fea?
 
jaman nina mpenzi wangu ana niham nimpe ki2 roho inapenda but soon ninapotaka kusex nae anapanda shetan. Nifanye nini c6z kumuacha sio fea?

Wewe umetueleza unavyomchukila huyo shetani!!
Yeye anasema kwanini shetani anapanada?
Na anachukuliaje hali hiyo!! ??
 
Jikoki fresh kwa monde na noah ila ngono kabla ya ndoa ni dhambi, ngoja mda ufike na pia hapo unapewa tahadhari, jipange sawasawa, hata bado hujala mshahara unaanzana na vitumbua, angalia afya yako na maisha yako ya mbeleni maana hayo mambo yapo na utayakuta
 
Akipandisha tu mashetani,mtie kofi la uso..kofi haswa..lazima shetan atoke na atakaa sawa!
 
This is serious wajameni. nishawahi kutana na ishu kama hiyo... 4times niliambulia patupu. Nikachapa mwendo.. Nalisubiri kwa hamu jibu kwa huyu king roja, ili nijue nitamsaidiaje maana bado hajafanikiwa yule niliye mkimbia
 
jaman nina mpenzi wangu ana niham nimpe ki2 roho inapenda but soon ninapotaka kusex nae anapanda shetan. Nifanye nini c6z kumuacha sio fea?
Muitee Mzee wa Upako, awe pembeni yenu anachombeza huku wewe ukiendelea !:eyeroll1:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom