Sheria ya wezi wa kutumia bodaboda uingereza inachekesha sana

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,616
Mzuqa!

Hawa wenzetu wanajinasibu sana wanaupeo mpana wa kufikiri.

Sasa hivi uingereza kuna wimbi kubwa sana la uhalifu hasa jiji la London. Vibaka wanaiba mchana kweupe kwa kutumia bodaboda wakijihami na visu na panga.

Vibaka hao wanafuraha sheria inayowalinda wakifukuzwa na polisi wanavua helmet na kuzitupa na polisi wanasimamisha gari mara moja kuwaacha watoroke.

Ni marufuku Uingereza kumfukuza mtuhumiwa yeyote kwenye pikipiki kama hajavaa helmet ni kosa la jinai.

Sometimes democracy inazingua
 
Boda boda london! Ndio kwanza naisikia toka kwako. Mie nilijua usafiri wao ni train na zile basi mjini yaani uda za london...
 
Boda boda london! Ndio kwanza naisikia toka kwako. Mie nilijua usafiri wao ni train na zile basi mjini yaani uda za london...
Mara nyingi pikipiki hutumiwa na courierservices kwa special delivery.
Hasa ukiomba visa ya USA passport unarudishiwa kwa courier
 
Kumbe London nako kuna vibaka! Dah
Vibaka wa London wana target matajiri hasa bankers wale wa six figure salary. Wanajua mitaa wanayokaa. Kule unakuta shopping zake zote ni Versace na YSL kuanzia viatu, socks, mkanda, suruali mpaka mashati na vingine wanapewa kama curtesy
 
Hata kwenye familia yule mwenye kiuwezo hata akikosea jambo watu watatafuta namna ya kulielezea hilo jambo lionekane kawaida tu ila kosea mwenzangu na mimi sasa uone.
 
Back
Top Bottom