Sheria Ngowi jifunze toka kwa Peter Walden

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
837
Acha ubishoo wa kujitangaza kwa bibi wa Dubai.
Huwezi kujiita designer na fundi wa kushona wakati huna duka wala online shop

nakushauri utulize ball na uwaone walio serious kama alika peter walden kwenye vido hapo chini...


 
Last edited by a moderator:
the guy anajitahidi sana, sidhani kama kila mtu anafanikiwa kwa kufuata fulani alivyofanya, kila binadamu ana instinct zake na uwezo fulani wa kufanya mambo kwa utofauti. Pia nadhani ingekuwa bora kumshauri hizo means nyingine kama unaona zitamsaidia. Huwa namuona sana pale southern sun hotel mida ya jioni unaweza muona pale au ukamshauri kwa social network.
 
Sheria Ngowi Kiboko bwana. Alipambisha harusi yangu ikapambika. Mtoa maada ushauri wako mzuri ila acha maneno yasiyo mazuri kwa kitu kisichokuathiri wewe.
 
Back
Top Bottom