Sheria kama hii ikipitishwa bongo, kuna atakeyepona?

Mukuru

Member
Apr 14, 2009
40
0
Former Beijing airport boss executed in China
BEIJING (AP) — The former head of Beijing airport's management company was executed Friday following his conviction on corruption charges, state media reported, making him the latest figure brought down in China's battle against widespread graft.
An intermediate court found 60-year-old Li Peiying guilty in February of accepting almost $4 million in bribes and embezzling about $12 million in public money since 1995, the Xinhua News Agency said.
Li was executed after the Supreme Court upheld a lower court's rejection of his appeal, Xinhua said. The report did not say when the Supreme Court ruled, and it did not describe the method of execution.
Reports said Li's attorney had argued for leniency, saying his client had returned the stolen money.
China has long struggled against corruption among high-level Communist Party officials, especially in state-owned enterprises in the energy, transportation and other key sectors that wield vast political influence and access to state financing.
Li's execution came two days after word emerged that the head of China's nuclear power program was under investigation for alleged corruption. And just last month, the former chairman of China's second-biggest oil company, Sinopec, was convicted of taking $29 million in bribes and given a suspended death sentence. On Thursday, state media reported that two businesspeople were put to death for multimillion-dollar frauds.
Concern lately has focused on state-run enterprises that are increasingly seeking to compete internationally.
State-owned enterprise executives "possess power and money, making it easy to give rise to corruption," Wang Yukai of the China National School of Administration was quoted Friday in the party newspaper Global Times as saying.
The Capital Airports Holding Co., of which Li was chairman, is among the state enterprise elite, operating more than 30 airports in nine provinces with managing assets of more than 100 billion yuan ($14 billion) and 38,000 employees, according to the company's website.
The company's airports handle 30% of all airline passenger traffic in China.
In handing down its sentence in February, the Jinan Intermediate People's Court said there was evidence that Li had solicited the bribes, making the crime more serious. It said the amount of public funds Li stole resulted in "extremely large economic losses" for the state and constituted an "extremely serious crime."
Earlier state media reports said most of the bribes Li took came from Beijing nightclub owner Qin Hui in exchange for $90 million in loans or loan guarantees furnished by Capital Airports Holding Co.
According to the reports, Li's corruption lasted from 1995 to 2003, when the investigation began. That would appear to indicate he was relieved of his responsibilities just ahead of a massive expansion of Beijing's airport in preparation for last year's Olympic Games.
The application of the death penalty in corruption cases has come under debate in recent years, with sentiment growing that it should be reserved only for particularly heinous violent crimes.
China puts to death more people every year than all other countries combined, with 5,000 executions expected to take place this year, according to the San Francisco-based Dui Hua Foundation, a human rights monitoring group. The Chinese government itself does not provide an annual count.
 
Sasa hawa akina Prosper Tesha (DG-TAA) na Mpare Msangi(DIRECTOR JNIA) tunawaangalia tu baada ya maskendo yote waliyoboronga pale JNIA kwa kukodisha kwa wahindi vibanda vyote vya Biashara, KWA MASLAHI BINAFSI!

...Give me my machine -Gun...!- Jacob Zuma.
 
Kwa maoni yangu sheria kama hii ndiyo inayotufaa hasa sisi wa bongo. huenda ikipitiswa inaewza kupunguza kwa kiasi fulani akina Bw vijisent KAMA si akina BW fisadi. Tuombe Mola ajalie siku moja tuwe na sheria kama hii.
 
Kama tunajali maisha ya watoto wadogo wanaokufa kwa kwa malaria..au akina mama wanaokufa wakati wa kijifungua..basi mafisadi kuhukumiwa na kufungwa nini jpya??

Je tunajali?? Je kwa nini hatujali??

Siku zote nasema..sheria za West na dhaifu kwa nchi maskini!

Tunahitaji sheria za China/Singapore kwa miaka 20 Tz ili watu ili watu wazoee/waheshimu utawala wa sheria!

Sioni tofauti..miaka 10-20 ijayo kama mfumo wa sheria ni ule wa luxury wa Waingereza!!

Discpline kwanza..kwa nguvu ya dola..then ndo demokrasia!
 
Kama tunajali maisha ya watoto wadogo wanaokufa kwa kwa malaria..au akina mama wanaokufa wakati wa kijifungua..basi mafisadi kuhukumiwa na kufungwa nini jpya??

Je tunajali?? Je kwa nini hatujali??

Siku zote nasema..sheria za West na dhaifu kwa nchi maskini!

Tunahitaji sheria za China/Singapore kwa miaka 20 Tz ili watu ili watu wazoee/waheshimu utawala wa sheria!

Sioni tofauti..miaka 10-20 ijayo kama mfumo wa sheria ni ule wa luxury wa Waingereza!!

Discpline kwanza..kwa nguvu ya dola..then ndo demokrasia!

The life of the good before the life of the evil.
 
Wamemua huyo kwa ajili ya kufuta na kupoteza ushahidi ila hapa kwetu ni bora kwanza wakarudisha hio hela halafu ndio tufikirie vya kuwanyonga au kuwabanika.
 
Niliwahi kutoa ombi la kunyonga mafisadi na maharamia wote kwa namna moja au nyingine wanasababisha umasikini, na vifo vya watu mbali mbali kama wanawake, watoto, wajawazito na mahospitalini. Wanasababisha kwa kula fedha ambazo zingesaidia.

Vilevile ulaya na mareakani haikuendelea kwa sheria za kubembelezana, kwanza walichapata na waliuana sana, kabla ya kuelewana na kila mmoja kuelewa kuwa hakuna kubembelezana. nchi kama Israel kiongozi asipofutwa matakwa ya wananchi wake wanamtungua, marekani kila raisi anajua akiwa mbali sana na matakwa ya wananchi hapakaliki.
 
Back
Top Bottom