Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Jamani nachoka kabisa nchi hii..
Kama kweli tuna majaji wa aina ya Werema katika mahakama zetu basi hili ni janga kubwa kabisa la kitaifa katika tasnia hii ya sheria na utoaji haki uko katika mashaka!