simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,409
- 9,183
Mahakama kuu Australia imedhibitisha sheria mpya inayopiga marufuku nembo ya kampuni kwenye paketi za sigara. Paketi sasa kuonyesha picha za wagonjwa wanaougua magonjwa yatokanayo na uvutaji sigara. Soma hapa zaidi Australian Court Snuffs Out Logos on Cigarette Packs | Chem.Info