sherehe ya wana JF

sasa kinachokufanya utoke povu ni nini? acha hizo bwana...kama mlishawahi kukutana kuna wasiwsi wa nini tena mara ooh huyu kajiunga leo na jf, huyu kajiunga kae=rne moja iliyopita...acha kubagua wenzako hata aliyejiunga dakika hii ana haki kama wewe ulijiunga humu karne iliyopita...hongera sana kwa kuwa na kitambo sana hapa jf...!

Ha ha haaaaaaaa......jukwaa la siasa linakufaa, kule watu hutokwa mapovu.Sisi huku tunapendana, Anyway....
 
Kwa ajili yako bebii nitanyoosha mikono juu.... Na miguu pia


Imekaaje vibaya mpendwa BADILI TABIA?

Watu tunakutana kama kawa tunapiga pombe na nyama choma. Tunaalikana kwenye mirusho na tunakutana kwenye kufarijiana kama tunanawa. Acha woga weye...

Kwa kuanzia mwana Chit Chat mwenye mahaba ya kuonana na ODM anyooshe mikono juu....
 
Last edited by a moderator:
Yaani huko fesibuku kuna groups kama 10, na wote wanapanga hafla za kukutana! Ndugu zako tu wa kitunda hujawaona mwaka unaisha, hebu tokeni hapa!

Mtoa mada, ww choma kmoto ama mbuzi, nipm nije bwana!

King'asti shindwa!
 
Last edited by a moderator:
hunaga jema king'asti! haya kaka endelela na moyo huo!
:A S confused::A S confused:
hii statement yak inanionesha haunijui kabisaa, weka wangu utaujulia wapi?
Ngoja nikipm nikipe of ya msuba but stake kukusaka. Una sanduku la baru a?
 
Back
Top Bottom