Shellukindo adaiwa kuongoza uasi CCM

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio makubwa sana kupata uwaziri,alipoona ameukosa ameamua kula sahani moja na wale waliopo madarakani.

washirika wake ni ole sendeka,Ane kilango,mwakyembe na Sitta.

My take.hii ni chuki na hila ya kutaka wakose wote.
 
Du!
Kwa maana hiyo hakuna mwenye nia njema na wananchi wa Tanzania!~!

RIP REGIA!
 
Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio makubwa sana kupata uwaziri,alipoona ameukosa ameamua kula sahani moja na wale waliopo madarakani.

washirika wake ni ole sendeka,Ane kilango,mwakyembe na Sitta.

My take.hii ni chuki na hila ya kutaka wakose wote.

Huyu mama mbona kigeugeu!!mifano ya kigeugeu chake ni kama ifuatavyo,mwanzo alikuwa anampinga lowasa,mara akatangaza rasmi kuwa yupo kambi ya lowasa,akaibua suala la jairo lakini lilipoletwa bungeni akaanza kutetea tena,sasa ameanza na singo ya kikwete apigiwe kura ya kutokuwa na imani naye,na anaendeleza uasi dhidi ya serikali,kisa posho!!siku akiwekwa kati ajieleze ataanza kutafuta mlango wa kutokea!!nec ya tarehe 12 tunaomba ajieleze kama anao ubavu wa kujisimamia,na wanaomuunga mkono nashindwa kuelewa uwezo wao make mwisho wa siku watakosa maelezo.
 
POLE
Wewe ni nani kule NEC?
 
Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio makubwa sana kupata uwaziri.

washirika wake ni ole sendeka,Ane kilango,mwakyembe na Sitta.

My take.hii ni chuki na hila ya kutaka wakose wote.
Has she changed side?
The last time I checked she was with the invincible EL
 
[Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio makubwa sana kupata uwaziri,alipoona ameukosa ameamua kula sahani moja na wale waliopo madarakani.

washirika wake ni ole sendeka,Ane kilango,mwakyembe na Sitta. My take.hii ni chuki na hila ya kutaka wakose wote.]

Hoja hii haina mshiko, huyu mama hawezi kushirikaina na hao uliowataja kwani siyo kundi lake, huyo yuko kundi la Lowasa, ila ni kweli kwamba anafanya kazi ya kumwadhibu Kikwete kwa kutumiwa na huyo bwana, kumbuka alishawahi kusema kuwa rais ajae ni Lowasa kwa kumnukuu nabii mmoja wa Naijeria alikokuwa amekwenda huyo bwana kusafisha nyota yake. Hata kumsurubu Jairo ilikuwa ni mpango wao kwani walisikia tetesi kuwa ndiye anaandaliwa kuchukua nafasi ya Luhanjo. Sidhani kama huyo EL haumo katika sakata hili la mgomo wa madaktari!! wana JF lifanyieni kazi hilo najua anachekelea sebuleni kama siyo chumbani.
 
Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio makubwa sana kupata uwaziri,alipoona ameukosa ameamua kula sahani moja na wale waliopo madarakani.

washirika wake ni ole sendeka,Ane kilango,mwakyembe na Sitta.

My take.hii ni chuki na hila ya kutaka wakose wote.

Ni kweli kabisa, ogopa sana watu wenye uchu wa madaraka.
Hadi alidiriki kusema wampigie Rais kura ya kutokuwa na imani kisa posho!
kwenye suala la posho humwambii kitu, anataka laki 2 kwa nguvu zote
 
POLE
Wewe ni nani kule NEC?

Mkuu kutoa ombi si lazima uwe mshirika wa kikao,kumbuka baadhi ya wajumbe uwa wanapitia jamiiforums bila kumsahau nape,kuhusu pole naomba umpe mama shelukindo make anapoteza mwelekeo kwa jambo ambalo haliwezi,akiwekwa kati kujieleza atabaki kutumbua macho na kuomba msamaha.
 
mtu yeyote anaeiasi ccm kwa wakati huu kwangu ni shujaa,iwe kwa maslahi binafsi au whatever.

mungu akitaka kukusaidia anaweza kutumia hata jambazi ili mradi akutoe kwenye shida.

mama shelukindo kama upo huku jf ni pm nikupe nondoz,watanzania wamechoka kuongozwa na serikali bubu,kiziwi,kiwete na kipofu.

asante rm kwa kuleta huu uzi ili tumsapoti huyu ester mkombozi wa taifa la mungu.
 
Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio makubwa sana kupata uwaziri,alipoona ameukosa ameamua kula sahani moja na wale waliopo madarakani.

washirika wake ni ole sendeka,Ane kilango,mwakyembe na Sitta.

My take.hii ni chuki na hila ya kutaka wakose wote.
Kwa manufaa ya nani?
 
mtu yeyote anaeiasi ccm kwa wakati huu kwangu ni shujaa,iwe kwa maslahi binafsi au whatever.

mungu akitaka kukusaidia anaweza kutumia hata jambazi ili mradi akutoe kwenye shida.

mama shelukindo kama upo huku jf ni pm nikupe nondoz,watanzania wamechoka kuongozwa na serikali bubu,kiziwi,kiwete na kipofu.

asante rm kwa kuleta huu uzi ili tumsapoti huyu ester mkombozi wa taifa la mungu.

Kwa bahati mbaya sio kwamba anaiasi CCM as a whole but Kambi iliyopo madarakani
sasa anaelekeza nguvu zake kwenye kambi inayotarajiwa 2015 ili apate uwaziri
 
Hilo gazeti limemusingle huyo mama kutaka kumfunga mdomo,kwa kweli umefika wakatai wa Mh.Jakaya Mrisho Kikwete kujiuzulu,aiache nchi ikiwa salama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom