Young Tanzanian
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,736
- 293
Kaka naona muungano unakutesa sana na ndio sababu ya wewe kuleta hii stor...mbona jamaa kuna taarfa kuwa yupo UK. Kwani lazma kila kikao audhurie mbona ww vkao huudhuriagi vyote..naona mnatafta option b baada ya ile ya kwanza kushndwa.. upangaji wa viti hauna mantic kikubwa ni protocal je ameingia kama nani pale...ni kama rais wa zanzbar na yule mzee ana busara si mpapatikaji hawezi kufanya kitu kama icho...pia nikueleze tu kuwa kwenye muungano nyie wazanzbar ndio mnaotunyonya wabara kwenye nafasi na ata maslahi..pga hesabu ya popltn yenu na oportunity eg. poltcal post mnazopata kwa kgezo cha muungano, eg uwazri,ubalozi,bot,hazna etttttttttcccccccc mm kwanza mkijitenga naona mtatuongezea opportunity wabara wasiwasi wangu ni security cz wale jamaa wa asia wanaweza hamia kwenu