Endelea kuota tu !!! The sleeping giant is awakening ndugu you better start to get used to it. Waislamu sio wajinga tena. Wewe ndio Machame hujafika mimi nimeenda mpaka vijijini na unayoyasema sio kweli. Wewe ndio wale mmezaliwa wakristo basi mnadhani kila mkristo hakuna wa kumdanganya hapa.
Number without substance what nimekuambia kuwa mpaka sasa population ni kama ifuatavyo:
Muslims = 35%
Christians = 30%
The rest= 35%
Source : CIA mpaka navyoandika ukitaka meza usipotaka kapumzike ni msumari mchungu but inabidi tu uumeze.[/QUOT]
....RIPOTI YA CIA ....DU UNACHEKESHA SANA ...lini marekani amekuwa rafiki wa Uislamu....LAKINI SISHANGAI NYIE NI WALE MNAITWA BISHANA HADI UFE......NDIO MAANA NIKAKUAMBIA KUWA HIZI DINI HAZINA MAANA KAMA HAZIWAJENGI WATU NA KUWAPA HUDUMA BORA ZA KIMWILI NA KIROHO......
Kwanini lini Marekani alikuwa marafiki na wakristo???? Hivi kuna myahudi amekuwa rafiki na nyie dini zenu amezivuruga hamtambulikani sasa mnafuata dini gani? Mimi naona wewe ndio hueleweki mara useme wakristo mpo wengi Tanzania, ukasema sheikh basaleh akaimbe ngojera zake huko ukaleta information zako za kupikwa from US department of state. Sasa mie nimekupa source unasema eti CIA hujui lini walikuwa marafiki na waislamu!!! Kama sio marafiki na waislamu then ni kweli basi statistics ndio ziko hivyo maana wangelibadilisha basi.
Ndio maana nakuambia kaimbe ngojera zako huko usilete hapa JF tunawekana sawa tu ndugu.