Shehena ya sukari yakamatwa Serengeti na kuuziwa wananchi

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Gari namba T607BCY lenye shehena ya sukari limekamatwa wilayani serengeti mkoani Mara ktk mji wa mugumu likiwa njiani likielekea nchi jiarani ya Kenya.Chini ya ulinzi wa polisi sukari hiyo wanauziwa wananchi kwa kiwango cha kilo tano tu kwa kila mmoja na kwa gharama ya sh 1800 kwa kilo
 
sijaelewa wanauza halafu hela anachukua nani?nchi hii bana ina vituko sana
 
sijaelewa wanauza halafu hela anachukua nani?nchi hii bana ina vituko sana
we unataka kujua hela inaenda wapi au unataka bei nafuu ya sukari?ok basi sukari inauzwa na hela inaenda tra.
 
Nzuri hito, nchi yetu inauhaba wa sukari alafu mtu anaitoroshea kenya? Ndo wanasababisha bei iongezeke hawa nyambafu. Waache wananchi wapewe unafuu.
 
Back
Top Bottom