Jiraniyetu
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 350
- 333
Wadau habari za sunday,kwanza nasikitika sana kumpoteza kwenye ramani ya muziki producer machachari Bob junior kutoka sharobaro records,bob nini kimekukuta?,nini mbaya?,mbona ulikuwa fresh tu kipindi cha miaka kama 3 iliyopita?,
Huyu jamaa ndo alimpa uwanja wa kuonyesha uwezo wake msanii Nguli Diamond platnumz ila bahati mbaya walitofautiana kila mtu akaenda kivyake baada ya kugombania majina(Rais wa wasafi na Rais wa masharobaro wakati huo)..
Nakumbuka alikuwa anakuja na wasanii wapya kila baada ya muda mfupi tu..Binafsi nimemis tachi zako sana..Hata kama haurudi kama msanii jaribu kuja kama producure..Najua Diamond pia atakuwa amemiss zile feeling kama za Kamwambie,mbagala na zingine..
Ni hayo tu,,au nyinyi wadau mnasemaje..Karibuni tumtie moyo Bob Jonior.