TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

Nini kinaendelea jamanii? Mola tuepushe na majanga haya hiki ni kipaji kingine kinaondoka wiki hii

rip sharo
 
Naomb KujuZwa steve Nyerere ni nani katika maswal ya Misiba ya wasanii hapa
TZ....Kwani Kila unapotokea Msiba Yeye Ndiye anathibitisha....!!!!!???
Steve ni kiongozi wa hao mabongo movie pia ni kuwadi wao
 
Poleni wasanii ni kweli mnawakati mgum kuzipokea hizi hali karibu imekuwa kila wakati,mungu awape faraja awaondolee huzuni,vilio na majonzi

Wasanii wa bongo na kwingineko ni lazima mfike mahali mkumbuke kuwa kuna mungu.Matendo yenu mnayoyafanya ni machukizo mbele za mungu especially when your income avdances at higher stage.Matendo ya kumsahau mungu ni lazima muyapige vita kwa njia ya dini zenu.Leo angalia wasanii wa kizungu wa zamani kama kenny Rogers wakifuatiwa na vijana wa zamani kina Lionel ritchie wanazidi kustawi kila kukicha kwa sababu hawakurupuki na kubabaika na utajiri unaowajia.Lakini kwetu bongo ni tofauti.Mnatutoka mapema kuliko ilivyotarajiwa kwa sababu mko watupu kwa kukosa uwepo wa mungu mioyoni mwenu.Mfano Mtoto wa Dandu, Kanumba, na sharo milionea just to mention but few.Matumaini yanapopambazuka wana rest in peace.this is not fair anyway.Msichukia bali mchukue hatua
 
Dah kwanini Bongo mtu akianza pata umaarufu na mafanikiotu anaondoka,Check Kanumba,Mr Ebo,Sharo,Vivian Tillya,na wengine kaibao au ndiyo uliusemi IKIVUMA SANA INAKARIBIA KUPASUKA.

R.I.P ALL.
 
lala salama sharo,,,mungu wa majeshi atakufufua siku ya mwisho..ila ningepata faraja sana kama ningejua kama ulipata muda wa kutubu dhambi zako!

yaani hilo ulilosema la kupata nafasi ya kutubu dhambi zake ndio hata mimi nasema jamani tutubu dhambi zetu mara kwa mara maana hatujui saa mungu atakayo ruhusu tufe. Vifo vingine analeta shetani na sio mungu maana yeye shetani atafurahi kuona mtu amekufa bila kutubu dhambi zake ili siku ile achomwe moto na wengi aliwadanganya duniani. Mungu ametupangia maisha marefu hapa duniani.

Naomba sana wana jamii forums tujifunze kusamehe na kutubu dhambi zetu kabla hatuja lala usingizi usiku na tunaposafiri unamwomba mungu nisamehe dhambi zangu maana hatujui saa wala siku ya kuondoka
kijana amenitia uchungu sana niliposikia asubuhi hii itv tyaarifa ya habari
 
nina simanzi kubwa sana moyoni....
 

Attachments

  • sharo milionea.jpg
    sharo milionea.jpg
    22.1 KB · Views: 867
Back
Top Bottom