Mallaba
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 2,554
- 47
umeleta advertisement?
According to Jamaa ni kwamba hakuruhusu ila ilikuwa misqoute.... ila good creativity, marketing na promotion ya hawa jamaa ninaikubali....
that is corporal punishment, whipping slashing or whatever you call it, and it is applicable in our own country Tanzania!we see it everyday students in schools being whipped and many of them are ADULTS and not children above the age 18! In Tanzania many ordinary Tanzanians start Primary school at the age of 8 to 10 years some even above that, by the time he or she reaches 20 years she is probably in Form 4 or Form 5, and they face the same HUMILIATION and BRUTALITY like the lady in the photo, charity begins at Home!
I cant imagine wadada wa Kiislamu watakavyo jiju na wale wakaka wa vibaka wa majina ya Juma ,Said,, Adbalah na wengine siku Sharia ikiingia Bongo, wailete tuu mahakama ya Kadhi jamani .
u know what , I beleive in Science. I also beleive that "religion" is the root cause of most, if not all evil. The worship of something that does'nt, or never exsisited is total foolishness. A waste of ones life huu ustaatabu wa wazungu na waarabu hautufikishi popote..
I cant imagine wadada wa Kiislamu watakavyo jiju na wale wakaka wa vibaka wa majina ya Juma ,Said,, Adbalah na wengine siku Sharia ikiingia Bongo, wailete tuu mahakama ya Kadhi jamani .
a proudly Muslim ! thats what u get when u do it before marriage, not a packet of Salama Condom!
Happy new year jf
Thanx God im christian :A S crown-1::A S crown-1:
I think here the issue according to the gentleman who brought the photo is the mode of punishment, even if what she did was wrong islamically is it the right punishment, also in my humble opinion sharia law discriminate and is very heavy on women.... just imagine that lady was your mother being humiliated.
Umenena vizuri sana.
Na zaidi ya hayo, tunaona vibaka wanavyochomwa moto na au kupondwa mawe mpaka wakafa na kadhalika, pengine kaiba chupi tu, kwa njaa! Nayo ni hapa hapa kwetu Tanzania. Na hao wauwaji wanajulikana na watu wanakaa kimya hawathubutu kuwataja japo kosa lao halikustahili kuuwawa. Au hayo hatuyaoni? Nyani haoni K***u lake!
Nadhani huelewi mahakama ya kadhi. Mahakama ya kadhi haitohusika na kesi za jinai ni kwa ajili ya kadhia zinazohusu, mirathi, ndoa na talaka kwa waIslam.
You're just saying because of hearsay or have facts? In all Shariah is harsh regardless of the gender.
Mahkama ya Kadhi inayohitajika Bongo...si sharia yote ifuatwe!
Ukiangalia kwa umakini...matatizo mengi ya Ndoa ya kiislam wengi huzipeleka kwenye hizi mahakama za serikali...ambazo mahakim wake wengi si waislam au hata walio waislam..hawazielewi vzuri. Ni tatizo.
Pili kuhusu Mirathi...wengi waislam kwa uelewa wao kidogo katika hili...baada ya marhum au marhumat...hupeleka shauri mahakamani...kitu ambacho huko...usimamizi wa hukumu zake kidini hua ajabu ajabu.
Sasa kwa kua huko mahakamani wanatumia hizo sharia bila kuingia kwa undani zaidi...ndio imeonekana waingie wataalam wa dini husika hapo.
Hata hivyo tangu ukoloni kwa kulielewa umuhimu hilo ilikuepo.
Ila Mwalim Nyerere katika utawala wake akafuta!
Ajabu ..zanzibar ipo!
Kenya ipo!
Uganda .....nmesahau kama ipo....nisaidiwe!
So sharia ikiingia humu Bongo haiwezi kubagua waislam pekee...itabidi iaply kwa ujumla kitu ambacho sio.
Hata mahkama ya Kadhi ikiendesha wajib wake...bado hutosikia mtu akiiba akatwe mkono wake wa kulia...au mtu akiwa hajaoa kisha akazini...apigwe fimbo mia moja...n.k.
Hivyo ni vzuri kuangalia kwa umakini...jambo hilo muhimu kwa waislam na hizo hukumu muhim.