Shangwe zinasikika kwa mbali, DR. WILBROD SLAA atangazwa mshindi

werawera

Senior Member
Oct 5, 2010
138
40
Peponi, mbinguni, kuzimu, jehanum na sasa sauti inakaribia duniani kelele za shangwe na machozi ya furaha yakimiminika watu wakisikiliza matokeo ya urais ya uchaguzi 2010. Dr slaa Wilbrod atangazwa mshindi wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Tanzania. Watu wakitumiana meseji za hongera. Mafisadi wakipigia wakiulizana vipi pasipoti unayo? Inabidi tusepe. Hureee, Hongera watanzania kwa kuonyesha PEOPLES POWERView attachment 15606
 
Dr, Wilbrod Slaa atangazwa kuwa ni mshindi wa tatu wa kiti cha uRais wa Jamhuri ya Tanzania. Ila muwekeeni sukari na chunvi karibu :biggrin1:
 
A genuine leader is not a searcher for consensus but a molder of consensus

Dr. Slaa is a molder of consensus

Jk is a seacher for consensus
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom