Shamba lenye ukubwa wa eka mbili na nusu linauzwa. Liko Vianzi maeneo ya Vikindu. Bei ni shs 10m lakini maelewano yapo. Kama unahitaji nipigie 0754 599929. sina dalali yeyote mawasiliano yote yaje kwangu.
Shamba linauzwa, liko barabara ya kuelekea Lindi, ukifika Vikindu unaingia kushoto kama km 3 au 4 hivi. Lina mikorosho na miembe na halijalimwa muda mrefu. Kama uko tayari tuwasiliane naweza kukupeleka kuliona. Bei ya kuanzia shs.10mil mazungumzo yapo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.