Shamba linauzwa Kilimanjaro

Kiny

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
289
57
Pole kwa majukumu ndugu zangu
.
Ninauza Shamba langu lenye ukubwa wa heka 4 .
Shamba Lina rutuba ya kutosha na linafaa kwa kilimo cha mazao aina nyingi, ni flat area.
-Shamba lipo KIA ni umbali wa dakika 7-10 kwa kutembea kwa miguu kutoka KIA stend (Barabara ya Lami ya Moshi to Arusha) hadi hapo shambani , kwa wanaopajua KIA stendi ni mita kama 200 kutoka Tanesco.
- Kijiji cha Sanya station.
-Karibu na Shamba (mita 12) kuna Umeme, na maji yapo umbali wa kama mita 700 kutoka hapo shambani.
-Shamba halina mgogoro wowote na Nina vibali vyote vya umiliki, kwa sasa yamestawi mazao ya maharage, alizeti na mahindi.
*Bei nauza kwa milioni 14.5 kwa Mteja aliye serious tunaweza kuongea ikashuka kidogo*.
-Shamba linauzwa lote. Au heka 3 tunaweza kuelewana.
Asante.

Namba yangu ya simu: 0757620622.
 
Attachments

  • Screenshot_2019-06-27-05-18-24.png
    Screenshot_2019-06-27-05-18-24.png
    160.3 KB · Views: 44
  • Screenshot_2019-06-27-05-18-24.png
    Screenshot_2019-06-27-05-18-24.png
    160.3 KB · Views: 41
  • Screenshot_2019-06-27-05-20-07.png
    Screenshot_2019-06-27-05-20-07.png
    231.9 KB · Views: 42
  • Screenshot_2019-06-27-05-23-08.png
    Screenshot_2019-06-27-05-23-08.png
    187.5 KB · Views: 40
  • Screenshot_2019-06-27-05-25-51.png
    Screenshot_2019-06-27-05-25-51.png
    246 KB · Views: 39
  • Screenshot_2019-06-27-05-21-38.png
    Screenshot_2019-06-27-05-21-38.png
    217.1 KB · Views: 41
Nalipenda shamba lako lakini ninaogopa sana migogoro ya ardhi. Linaweza kweli likwa lako lakini kujridhisha ni kazi. Watu wamelizwa sana na maswala ya ardhi..
 
Ata mimi nimeshangaa sana mkuu. Hya ni maajabu.
Wakuu nadhani ukiwa mtu mwenye busara huwez kubeza biashara ya mtu, nimekaa Moshi nimeuza Kiwanja change Longuo (KCMC) nimeuza Shamba langu Boma angalia mojawapo ya thread zangu na aliyenunua yupo humu , hili Shamba ni langu na Nina vibali vyote, siyo vizur kubeza biashara ya mtu,Leo kwangu kesho kwako, huwez jua shida inayofanya niuze
 
Pole kwa majukumu ndugu zangu
.
Ninauza Shamba langu lenye ukubwa wa heka 4 .
Shamba Lina rutuba ya kutosha na linafaa kwa kilimo cha mazao aina nyingi, ni flat area.
-Shamba lipo KIA ni umbali wa dakika 7-10 kwa kutembea kwa miguu kutoka KIA stend (Barabara ya Lami ya Moshi to Arusha) hadi hapo shambani , kwa wanaopajua KIA stendi ni mita kama 200 kutoka Tanesco.
- Kijiji cha Sanya station.
-Karibu na Shamba (mita 12) kuna Umeme, na maji yapo umbali wa kama mita 700 kutoka hapo shambani.
-Shamba halina mgogoro wowote na Nina vibali vyote vya umiliki, kwa sasa yamestawi mazao ya maharage, alizeti na mahindi.
*Bei nauza kwa milioni 14.5 kwa Mteja aliye serious tunaweza kuongea ikashuka kidogo*.
-Shamba linauzwa lote. Au heka 3 tunaweza kuelewana.
Asante.

Namba yangu ya simu: 0757620622.

Je hili shamba halipo kwenye maeneo ya miradi? maana kuna maeneo serikali itayachukua kwa ajili ya uwekezaji.

Funguka kidogo
 
Je hili shamba halipo kwenye maeneo ya miradi? maana kuna maeneo serikali itayachukua kwa ajili ya uwekezaji.

Funguka kidogo
Siyo la serikali ndugu wala siyo eneo la miradi, na kabla ujanunua utaweza kujiakikishia kila kitu
 
Eneo ulilotaja haliko kilimanjaro bali ni king'ori, arumeru kama sijakosea.
Inawezekana ipo pia KIA ya Arumeru mkuu japo Mimi siijui , hiyo ya kwangu ni KIA ya Kilimanjaro ,kijiji cha Sanya station kama nilivyoeleza hapo juu
 
KIA nadhani iko boma
Kia stand ya ndege(uwanja wa ndege/Kilimanjaro international airort) iko wilaya ya hai,kia stand ya magari iko wilaya ya siha, pia mfahamu moshi ni wilaya kama wilaya nyingine hivyo ni kajisehemu tu cha mkoa wa kilimanjaro hivyo siyo kila aliyeko kilimanjaro yuko moshi.
 
Yah hilo nalielewa sana wengi wanadhani moshi mkoa
Kia stand ya ndege(uwanja wa ndege/Kilimanjaro international airort) iko wilaya ya hai,kia stand ya magari iko wilaya ya siha, pia mfahamu moshi ni wilaya kama wilaya nyingine hivyo ni kajisehemu tu cha mkoa wa kilimanjaro hivyo siyo kila aliyeko kilimanjaro yuko moshi.
 
Nalipenda shamba lako lakini ninaogopa sana migogoro ya ardhi. Linaweza kweli likwa lako lakini kujridhisha ni kazi. Watu wamelizwa sana na maswala ya ardhi..
KIA kuna mgogoro kati ya serikali na maasai wamiliki wa ardhi eneo lote hilo wanasema ni la uwanja wa ndege na waliwataka waondoke sasa hilo eneo lako unaachia ili mgogoro ubaki kwa utakayemuuzia au hapo kwako hamna huo mgogoro wa mipaka katiya serikali na Maasai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom