shallom great thinckers

D's of abraham

New Member
Feb 27, 2015
2
0
mimi nimgeni, hapa kwenye hii forum, nimeipenda sana. mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, wafugaji mpo?? ambaye ana kuku aina ya Dorep na kenbro please anifahamishe.asanteni
 
wapendwa pia nahitaji kujua kuhusu mayai ya kware, je nikifuga kware mayai yanauzika kama ya kuku. natanguliza shukrani
 
Karibu sana JF...

Nenda jukwaa la ujasiriamali, biashara au matangazo uweke sredi yako...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom