Shabiki No. 1 wa Arsenal (video) !!

dah! ile mechi mi mwenyewe niliudhika sana!! bao nne zote zilirudi!! nilimchukia sana wenger...
 
Hahahahahahah lol! Thanks Steve for the laughter...yaani nimecheka mpaka na machozi dah! Upenzi kama huu unaweza kufa kwa blood pressure hahahahahaha
 
dah! ile mechi mi mwenyewe niliudhika sana!! bao nne zote zilirudi!! nilimchukia sana wenger...

Mkuu hata ningepewa mimi tukiwa na bao hizo,ningetumia formation yoyote na wasingesawazisha.Hii ni moja ya mechi iliyo-expose weaknesses za prof.Na ukawa mwanzo wa kukosa ile trophy-was there for taking.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom