Sex 4 grades: Binti achanganyikiwa.......

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
Binti mmoja ambaye uwezo wake darasani ni wa kusuasua kajikuta kwenye mtego wa mkufunzi wake ambaye kamwambia bila ya "nipe nikupe" atahakikisha anarudia mtihani na kufeli........binti ajijua hana uwezo lakni karatasi analihitaji akaombee ugali mbele ya safari...ushauri wako anauhitaji.............

kwanza pitia makala hii kabla hujaenda mbali ujue na washauri wengineo wanasemaje..............

[h=1]Help! My lecturer wants sex for a grade.[/h]
Lstly-dilemma180712.jpg

who said life is easier......look at her pondering whether to get laid by an unscrupulous professor.....
 
get him on tape and sue his @$$. people who take advantage of others make me so mad!!
A%20S%20angry.gif
A%20S%20angry.gif
A%20S%20angry.gif

[MENTION]blaine n kurt[/MENTION]

What about hewr certificate she longs for...........................ushauri wangu aachane na hiyo shule akafanya shughuli inayokwendana na kurandana na vipaji vyake....yaelekea huko siko alikopangiwa na Muumba..........
 
Atalala na wangapi? Kama kichwa chake ni kigumu? It means masomo yote hatoweza kufaulu. Na kwa miaka mingapi?
Kama ameona kichwa chake kigumu basi akatry kwingine si lazima kwa mfumo wa elimu, asilazimishe sana elimu kwani wengine imewakataa na wamefanikiwa kwa mtindo mwingine.
 
jamani mbona hii wawweza kuitengenezea platform nzuri tu? amkubalie atafute vifaa vya kiitelijensia hata kama ni kajikalam tu amtogoe kwa maneno laini ili atae analilihitaji na returns zake kisa wakubaliane waende waka do wakifika b4 bint anarudia tena ili kuthibitisha aloyasema mwanzo sasa hapo ana mblack mail kiukweli aisee.

manake akidropout wengine wanaokuja watautana na hii dhahama so ni bora akimwaga mboa yeye awage ugali
 
blaine n kurt

in the US, the lecturer could get fired or at least get transfered, so she would have helped future students by getting rid of him. leaving school isn't any easy decision either, imagine her parent's reaction
 
uwezo hana au huyo mwalimu anamfelisha makusud ili dadaa aamini uwezo hana ili atoe hiyo rushwa ya ngono, coz hizo zipo xana college kama instructor kavutiwa na mwanafunzi wake wa kike..
 
[MENTION]
Remmy[/MENTION] tuko wote her future does not depend on trading sex for a better grade............
 
uwezo hana au huyo mwalimu anamfelisha makusud ili dadaa aamini uwezo hana ili atoe hiyo rushwa ya ngono, coz hizo zipo xana college kama instructor kavutiwa na mwanafunzi wake wa kike..

Bony J nilitutahadharisha ujisomee kabla ya kuchangia maswali unayoyauliza khabari yenyewe tayari imekwisha kuyajibu...........
 
Last edited by a moderator:
when things get tough, you have to be tough to get going

cartura the problem has always been how do someone get tough without giving up her essence to this criminal in the making?
 
Last edited by a moderator:
in the US, the lecturer could get fired or at least get transfered, so she would have helped future students by getting rid of him. leaving school isn't any easy decision either, imagine her parent's reaction

blaine n kurt you are dead right but that is Kenya and gal just wants the lecturer to get her grades "right" without peeling herself to his amorous advances............
 
Ikiwa maendeleo yake ni ya kusuasua, ama aongeze juhudi zaidi au aangalie anachoweza kufanya kwa uwezo wa akili yake. Akianza kugawa kwa cheti, ataendelea kugawa kwa kila kikwazo kinachomkabili maishani. Heshima yake inapaswa iwe kitu cha mwanzo kabla ya mahitaji yake na ya wanaomzunguka.
 
jamani mbona hii wawweza kuitengenezea platform nzuri tu? amkubalie atafute vifaa vya kiitelijensia hata kama ni kajikalam tu amtogoe kwa maneno laini ili atae analilihitaji na returns zake kisa wakubaliane waende waka do wakifika b4 bint anarudia tena ili kuthibitisha aloyasema mwanzo sasa hapo ana mblack mail kiukweli aisee.

manake akidropout wengine wanaokuja watautana na hii dhahama so ni bora akimwaga mboa yeye awage ugali
[MENTION]
gfsonwin[/MENTION] wangapi wana moyo wa kutioa mhanga kwa manufaa ya wengineo ambao hata hawajui na wao waishie mtaani maana maprofesa wengine si watalipa kisasi............
 
ikiwa maendeleo yake ni ya kusuasua, ama aongeze juhudi zaidi au aangalie anachoweza kufanya kwa uwezo wa akili yake. Akianza kugawa kwa cheti, ataendelea kugawa kwa kila kikwazo kinachomkabili maishani. Heshima yake inapaswa iwe kitu cha mwanzo kabla ya mahitaji yake na ya wanaomzunguka.
@
mammamia wengi si ndivyo walivyo wanagawa kwa kila kitu..................cheti, ajira kupanda cheo, n.k
 
Back
Top Bottom