Setrac foundation

Todito

Senior Member
Feb 6, 2013
154
357
Tufuate facebook kwa kuandika "supporting education to rural african child" ni NGO's mpya inayotafuta vollunteers kwanza
 
Watu wanaulizia ajira sana.ajira bado hazijatoka tunahitaj vollunteer kwanza halafu ajira baadaye ahsanten sana
 
Mbona kama mjajipanga? au mnataka member wengi kwenye facebook? Hamna tangazo lolote linaloonyesha mnataka volunteers. zaidi mnaomba SUPPORTING. kuwen wazi tafadhali
 
habari,ahsanten sana wana jamii forum tumepokea maombi mengi sana ya vollunteer facebook yametosha kwa sasa tumesitisha hilo zoez sasa.ahsante kwa ushirikiano
SETRAC FOUNDATION
 
'so baada ya kuridhika nyinyi wenyewe na hao ma-volu then wht next & when will be tht next for the benefit of othrs pls'
 
Back
Top Bottom