Serious, natafuta rafiki wa kike

Lakisipesa

Member
Apr 1, 2012
20
11
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32 na nimeajiriwa. Elimu yangu ni ya chuo kikuu, natafuta msichana mwenye sifa zifuatazo ili tuwe marafiki na ikifaa kama wote tutaridhia tunaweza kuwa wachumba.

1. awe mkristo
2. awe na elimu kuanzia chuo kikuu, (awe anamalizia masomo au ameshamaliza na kuajiriwa)
3. awe mkweli na muwazi (naomba kama huna sifa hizi usiniandikie kunidanganya)
4. Ajue kuwasiliana kwa kiingereza

....please naomba mtu asifanye utani ninamaanisha nilichoandika hapa na ninamuhitaji sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom