Serious natafuta mwanamke anayehitaji kuingia kwenye ndoa na kuanzisha familia

NIPO SERIOUS KATIKA SWALA HILI NA NIMEAMUA KWA DHATI KABISA KUTOKA MOYONI MWANGU KUTAFUTA MWENZA WA MAISHA ILI KUANZISHA FAMILIA KAMA MKE NA MUME WA NDOA ENDAPO TUTARIDHIANA. MIMI NI KIJANA MWENYE UMRI WA MIAKA 27, NI MKRISTO NA NAISHI MKOANI SHINYANGA NINAKOFANYIA KAZI KAMA MWAJIRIWA. SIJAWAHI KUOA, SINA MTOTO, SITUMII KILEVI CHOCHOTE. KWA MUDA MREFU NIMEKUWA NIKIWEKA POST ZANGU ZA KUTAFUTA MCHUMBA HUMU JF NA WAPO WALIOWAHI KUJITOKEZA LAKINI HATUKUWAHI KUFIKIA LENGO KUTOKANA NA KUTOFAUTIANA BAADHI YA TABIA KWA HIVYO BADO NATAFUTA MSICHANA WA KUANZISHA NAE FAMILIA KAMA TUKIRIDHIANA. NAHITAJI MTU ALIYE SERIOUS NA MAISHA NA SI ANAYEJARIBU AU KUFANYA MZAHA KWANI SITAKI KUPOTEZEANA MUDA. NINAYEMUHITAJI ANGALAU AWE NA SIFA KAMA; umri asizidi miaka 25, mkristo, au mwislamu aliyetayari kubadili dini na kuwa mkristo, awe msikivu na mvumilivu kuweza kuishi maisha ya aina yoyote, awe hajawahi kuolewa, asiwe na mtoto, awe tayari kuishi sehemu yoyote. MENGINGINE TUTAONGEA BAADAE BAADA YA KUWASILIANA. KWA ALIYE SERIOUS TUWASILIANE KWA 0656380928 AU 0752539979. OPEN MIND

fafanua hapo ili nikimuelezea dadangu,,,,,awe ana info zote
 
mmh, you look damn serious bro.... humo ndani kutakuwa na hata jokes kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom