Serikali yetu inazidi kutia aibu

Hi ccm ni kichefuchefu one thing muhimu ni kuipiga chini 2 ccm imeweka rehani roho zetu
 
titi+2.jpg
 
Don Draper na Wana JF,
Kwanza nimpe Ndugu yetu aliyepatwa na Mkasa na madhara ya madawa aliyotumia pole sana na get well soon.
Pili Viongozi wetu kazi zimewashinda, kwa sababu hii ni Kashfa kubwa na chain yote ilitakiwa kuachia ngazi, kunaweza kukawa na sababu nyingi zilizosababisha haya, kama madawa kuisha muda wake, ubora wa madawa, uzembe na mengineyo, hakuna Viongozi wenye dhamana ya kuhoji au kuchukua hatua kuhusu hili.
My Take: Ni wakati wa Viongozi wetu kujali Maisha ya Mtanzania mmoja mmoja
Nawakilisha



Hivi whats the point ya kuwa na wizara ya afya?

Hivi kweli tumekuwa so useless mpaka hakuna anayewajibika?

Hivi mtu kama huyu anaweza kusema kuwa HE IS PROUD TO BE TANZANIAN?


MICHUZI: mkaazi wa bagamoyo adai kuota matiti kwa kutumia arv's

Imeniuma sana.

serikali haina majibu , waziri husika hana majibu, muhimbili haina majibu, wizara ya afya haina maijibu.
 
Jamani, kwanza nani ana uhakika kwamba dawa alizotumia ni ARV kama anavyodai? Pili, whatif dawa hata kama ni ARV zimeexpire muda mrefu sana na hivyo kutengeneza sumu?
 
Jesus!Huku tunako kwenda
unaweza amka siku hata sehem za siri zimebadilika!
 
Panahitajika uchunguzi wa kina kubainisha ukweli wa hili ili kuepusha madhara zaidi kwa wengine.

Chunguzi ngapi zinafanyika na kuishia kwenye karatasi bila kutangazwa na wala kufanyia kazi majibu ya hizo ripoti
 
Hii kitu nilikuwa naitegemea siku moja kuja kutokea, serikali kupitia wizara ya afya, wamekuwa wanategemea sana msaada wa madawa haya kutoka marekani, kupitia USAID, pia haya madawa yakiingia yanapelekwa kule kwa wendawazimu MSD, hakuna cha inspection wala nini. Wamarekani sio watu wema, hata haya ma-ARV wanayotupa kama msaada yako substandard mno na ndio maana yanakua na alot of side effects. Pia kuna swala lingine la uingizaji wa madawa ya kukinga mimba, hivyo vipandikizi vinaitwa 'contraceptives', vipo vya aina nyingi sana na vinaingizwa na hao hao USAID kwa kuratibiwa na bwana mmoja anaitwa Tim Manchester. Hizo contraceptives au implanon ambazo zinatumika kuzuia mimba ni hatari sana na zina side effect kubwa mno, ndio maana hata wale watoa ushauri wa pale muhimbili kitengo cha mama na mtoto- RCHS, ukikaa nao wanakwambia hivyo vipandikizi ni hatari, na wao huwa hawavitumii. Jamani tuwe makini sana, ukizingatia tuna govt legelege inabidi umakini uongezeke...
 
Jamani, kwanza nani ana uhakika kwamba dawa alizotumia ni ARV kama anavyodai? Pili, whatif dawa hata kama ni ARV zimeexpire muda mrefu sana na hivyo kutengeneza sumu?

Kwanini apewe dawa zilizo expire?
 
hatari sana hii..dawa ya hii kitu ni kubadili mfumo mzima wa utawala

kwa hali ya mambo mengi yanavyokwenda bila kuwajibishana na jukemea mambo hata mzee wa magogoni hili suala linatakiwa liondoke nae!
 
Back
Top Bottom