N-handsome
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,453
- 556
Rais wa NEC - Uchakachuaji
Bajeti saa imechakachuliwa pia?
Bajeti saa imechakachuliwa pia?
Hawa ni majambazi kabisaMatapeli Kazini!!
Kama kweli wanataka kutuaminisha kuwa wanaweka maslahi ya taifa mbele..... tuone mkulo na genge la wezi wenzie ama wajiuzuru wenyewe au wawajibishwe na bosi wao(naota tu jamani)
Waziri wa Fedha na Uchumi aachie ngazi/awajibike.
Mapambano I cannot see Mkulo going....mmmh!
Subiri wakayazungumze kama alivyosema mwenyewe
hao unaotegemea mbona hawakufurukuta kipindi cha uchaguzi, si walikuwa mashuhuda wa mchezo mchafu?I cannot differ with you Nightangale...maybe he'll do it if he's under pressure from opposition, donors na magazeti huru. Sitoshangaa kama sio JK mwenyewe ndio alio suggest such a move, waache wakazungumze lakini jamaa mambo yakiwa moto kwa kujiokoa atamtosa kama rafiki yake EL...just a thought
Hata mimi hii inanishangaza sana, lakini ninachoshangaa zaidi ni kuona wahisani wanaendelea kutunisha matumbo ya walafi hawa wakielewa wazi kuwa zaidi ya nusu ya misaada yao inaishia katika matumbo yasiyojaa maisha. Ni aibu. Halafu Waziri wa fedha anadai "mengine njoo ofisini kwangu tuyazungumze". Anataka aende kumchakachua huko.Kama kweli wanataka kutuaminisha kuwa wanaweka maslahi ya taifa mbele..... tuone mkulo na genge la wezi wenzie ama wajiuzuru wenyewe au wawajibishwe na bosi wao(naota tu jamani)[/QUOTE
Hahaaa bora umejisemea unaota! Mimi bado natatizwa na 'matumizi ya kawaida' ya serikali nikilinganisha na fedha zinazotumika ktk shughuli za maendeleo!
7 kwa 3 (trilioni) khaaaa jamani taratibu!
La kufanya ni kwa wafadhili kutoa misaada yao kwa masharti kuwa misaada hiyo inatumika kwa miradi ya maendeleo tu, sio kwa mishahara ya viongozi,posho, marupurupu na magari ya bei za mbinguni. NI AIBU, NI AIBU, NI AIBU, NI AIBU, NI AIBU, NI AIBU, NI...
Ushauri wa bure kwa Waziri Mkuu na Waziri wa Fedha, ikiwa bado wamebakiwa na haya angalau kidogo WAJIUZULU
Like I said before....
"This are the people, who when they see the light at the end of the Tunnel, They go out and buy another Tunnel"
The sad thing ni kwamba they are the ones we have entrusted them with our country
Like I said before....
"This are the people, who when they see the light at the end of the Tunnel, They go out and buy another Tunnel"
The sad thing ni kwamba they are the ones we have entrusted them with our country