Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 888
Nakubaliana na bwana Ngabu asilimia mia moja utoaji wa mimba ni kinyume na maadili ya kiafrika na hata baadhi ya dini zetu haziruhusu. Pia utoaji wa mimba hauna faida yoyote. By the way mkuu Ngabu ile Avatar yako ya mwanzo ilikuwa inamvuto mzuri.
Mkuu, mi naomba unionyeshe mila gani ya mwafrika iko against utoaji mimba wakati tunajua fika kuwa mabibi zetu walikuwa wanatoa mimba lakini wengi walikuwa wanafanya kinyemela na hivyo kubaki kuwa siri kutokana na kunyanyapaliwa na wanaume waliofikiri ya kuwa mwili wa mwanamke ni property yake. Katika siri wanawake hutoa katika mazingira ya hatari yaliyosababisha hata kifo cha mama.
Usitake kutumia 'mila' na 'desturi'kupinga kitu.... we zungumzia maisha ya sasa... utakuja kusema eti mabibi na mababu zetu walikuwa wanavaa hijabb na Victorian dresses with gloves, na ndo maana wasichana wasivae vimini, wakati ukweli ni kuwa vizazi vyetu vilivyopita walivaa ngozi, nyasi na walitembea nusu uchi....