Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,656
Imedaiwa kuwepo kwa vikundi nchini vyenye mrengo wa kigaidi ambavyo vimekuwa vikifanya mazoezi ya kivita katika misikiti kadhaa mikoa ya Dodoma na Morogoro.
Kiongozi mmoja wa serikali akiongea kupitia ITV, amesema kuwa amefuatilia yeye mwenyewe na kuweza kubaini harakati za vikundi hivyo. Vikundi hivyo vya kagaidi mara zote vimekuwa vikidai kuwa vinafanya mazoezi ili kujiandaa na vita ya jihad inayokuja, nia ni kujenga uwezo wa kukabiliana na kuwaua makafiri.
Ukiona dalili za kishenzi kama hizi tafadhali toa taarifa haraka kwenye vyombo vya usalama.