Serikali ya wanafunzi UDOM na ufisadi uliokithiri

Freightliner

JF-Expert Member
Aug 22, 2013
720
522
Serikali ya wanafunzi katika chuo kikuu cha Dodoma kitivo cha elimu wamemaliza muda wao kwa wizi wa fedha zaidi ya milioni 8.

Serikali hii iliyoongozwa na bwana John wamezikomba pesa hizo na cha ajabu huyu rais kanunua alteza na anazunguka nayo chuoni na wahusika wamekaa kimya,lakini pia wanafunzi walitozwa pesa za kuchangia serikali hii ya UDOSO mara mbili kwa ubabe wa rais John na watu wake.

Wanafunzi UDOM tuamke
 
Sema na wewe ulikosa mgawo naona povu linakutoka hapo kwenu H mlikuwa na gari? Ungemuumbuwa huko bunge lilipovunjwa siyo kuleta hapa jamvini

Please moods tuondolee Uzi huu.
 
Sema na wewe ulikosa mgawo naona povu linakutoka hapo kwenu H mlikuwa na gari? Ungemuumbuwa huko bunge lilipovunjwa siyo kuleta hapa jamvini

Please moods tuondolee Uzi huu.

co kila anaeleta nyuzi kama hizi hapa jf ni kwasababu amekosa mgawo na pia co wote wanatabia za kifisadi kambazo unataka kumtetea huyu mtu wetu wa UDOSO kuwa gari iliyopakiwa H inawasaidia nini wakazi wa H,na pia mleta mada ni mwananchi wa kawaida tu sio mbunge,sio cr wala sio kiongozi wa bweni.
Kumbuka:jamii ya watu mafisadi kama wewe mlenzi na John wako lazima ndio wapinga maendeleo blaza badilika
 
Sema na wewe ulikosa mgawo naona povu linakutoka hapo kwenu H mlikuwa na gari? Ungemuumbuwa huko bunge lilipovunjwa siyo kuleta hapa jamvini

Please moods tuondolee Uzi huu.

co kila anaeleta nyuzi kama hizi hapa jf ni kwasababu amekosa mgawo na pia co wote wanatabia za kifisadi kambazo unataka kumtetea huyu mtu wetu wa UDOSO kuwa gari iliyopakiwa H inawasaidia nini wakazi wa H,na pia mleta mada ni mwananchi wa kawaida tu sio mbunge,sio cr wala sio kiongozi wa bweni.
Kumbuka:jamii ya watu mafisadi kama wewe mlenzi na John wako ndio wapinga maendeleo blaza badilika
 
Tz ni noma sana yaani ufisadi hadi kwa serikali za wanafunzi,sasa huyo kiongozi akija kupewa uongozj wa juu nchini si itakuwa balaa?????!!!!.
 
nyi watoto mmekua mayai sana saivi. hamjui haki zenu lkn kubwa zaidi hamjui muda sahihi wa kudai haki zenu. Udom ile ya 2012- 13 wale ndo walikua wanaume mnoo.

pesa ya wanafunzi hailiwi kipumbaf pumbaff ivyo afu wanafunz mmekaa kaa kijinga jinga tuuu mna waangalia wanaokula.

ina maana hamjui haki zenu.

pia kuleta Uzi humu bado sio mwarubaini wa kutatua huo uozo uliofanywa huko udoso ng'ox. hii infetakiwa iwe hatua ya mwisho baada ya muungano wa wanafunzi kupitia wabunge kwenda bungeni kupiga kura ya kutokua na imani na raisi wa serikari ya wanafunzi juu yaadudu wanayofanya (km ulivyodai)

vinginevyo labda uwe na chuki zako binafsi kwao.

acheni huoga nyie wapuuzi. kila kinachotokea chuoni kinaendeshwa kwa mujibu wa kanuni na taratibu.
fateni kanuni na utaratibu katika kudai haki zenu za msingi.

ikishindikana ktk ngazi ya coleji hapo ng'ox pelekeni madai yenu kwa raisi wa shirikisho la wanafunzi udom ambae ndiye mkuu wa masuala yote ya kiuongozi ktk chuo.

nae akishindwa kutafuta ufumbuzi ingieni barabarani mpaze sauti.
 
Hata chuo changu toka naanza hadi Leo naamaliza Kila mwaka nasikia uongozi wa serikali ya wanafunzi umepiga Kwa hiyo ndiyo brn
 
Back
Top Bottom