Serikali ya Magufuli ni mbwembwe tu

Kupitia NEMC walitoa tamko kwamba hakuna tena hoteli yoyote kutoza hela kuingia kwenye fukwe yoyote hapa Tanzania . Basi siku ya leo nikaanza na South Beach kule Kigamboni, pale wasomali wenyewe wanahakikisha umelipa kabla ya kuingia.

Mbalamwezi pale leo hii mida ya saa 9.45 nikapigwa 5,000 nilikaa dakika 39 nikaondoka. Kufika Giraffe pia nikalipishwa 5,000, hapa nilikunywa chai na kuondoka kuelekea Ramada Hotel ambaayo ni jamani, ambako pia nililipia 40,000 kwenda kula huko nyuma. Pale mbalamwezi nikauliza kwanini nilipe wakati serikali ilishakataza, baunsa akanijibu, kwamba nikiendelea na maswali hawataniruhusu kuingia na pia hawajui chochote kuhusu hilo tangazo.

South Beach nako niliambiwa kwamba hilo tangazo haliwahusu nikaulize serikalini kwamba lilimlenga nani, ila siyo wao

Nimefanya hivi makusudi kutaka kujua seriousness na ukweli wa hii serikali Ya kisanii ambayo inapenda maigizo hasa ikiona vyombo vya habari . Serikali Ya Magufuli ni usanii kuzidi wa kikwete, matamko kila siku, matamko yenyewe ili waonekane kwenye camera . Tusubiri mwaka uishe. Tamko la NEMC ni Changa la macho
naamini kwa 100% Magufuli anaafadhali mara nyingi zaidi kuliko angekuwa lowassa. sijutii uamzi wangu kumchagua huyo jamaa pamoja na mapungufu yake tuyaonayo.
 
Juzi aliyeitia serikali hasara ya bilioni 11 ametolewa jela amepangiwa kufanya usafi, halafu leo hii unaambiwa eti wataunda mahakama ya mafisadi. Usanii mtupu!
Hata Rashid shamte yupo nje na kesi yake itamalizwa kimya kimya.
 
Ww kweli kipofu maigizo yote kuanzia Muhimbili mpaka sherehe za Uhuru kukwepwa lakini za ccm singida zipo umeshindwa kung'amua jambo? Ama kweli Umekariri Akili za Nape na boss wake Membe.
 
Mwenye nacho ndiyo mwenye haki hata Magufuli juzi kasema wenye nacho Mahakamani hawafungwi hata ile meli ya samaki sasa inalipwa Mabilion, wenye mahoteli watakuambia wanalipa Kodi hata kama kodi haiendani na vipato vyao lakini Serikali hawana pa kuwazuia tena wanawaogopa sana wengi walisaidia pesa za kampeni wakaahidiwa kusamehewa mengi mojawapo ni hayo.
 
Kupitia NEMC walitoa tamko kwamba hakuna tena hoteli yoyote kutoza hela kuingia kwenye fukwe yoyote hapa Tanzania . Basi siku ya leo nikaanza na South Beach kule Kigamboni, pale wasomali wenyewe wanahakikisha umelipa kabla ya kuingia.

Mbalamwezi pale leo hii mida ya saa 9.45 nikapigwa 5,000 nilikaa dakika 39 nikaondoka. Kufika Giraffe pia nikalipishwa 5,000, hapa nilikunywa chai na kuondoka kuelekea Ramada Hotel ambaayo ni jamani, ambako pia nililipia 40,000 kwenda kula huko nyuma. Pale mbalamwezi nikauliza kwanini nilipe wakati serikali ilishakataza, baunsa akanijibu, kwamba nikiendelea na maswali hawataniruhusu kuingia na pia hawajui chochote kuhusu hilo tangazo.

South Beach nako niliambiwa kwamba hilo tangazo haliwahusu nikaulize serikalini kwamba lilimlenga nani, ila siyo wao

Nimefanya hivi makusudi kutaka kujua seriousness na ukweli wa hii serikali Ya kisanii ambayo inapenda maigizo hasa ikiona vyombo vya habari . Serikali Ya Magufuli ni usanii kuzidi wa kikwete, matamko kila siku, matamko yenyewe ili waonekane kwenye camera . Tusubiri mwaka uishe. Tamko la NEMC ni Changa la macho

Mimi nafikiri nchi hii kuna sababu kwanini ni moja kati nchi zenye IQ ndogo sana Duniani hivyo Raisi Magufuli ana kazi kubwa sana kwa sababu anaongoza watu wenye IQ ndogo kama wewe!
Waliposema fukwe zote ni bure haijamaanisha kuingia Hotelini, kama unakwenda Hotelini na kutumia huduma zao ni lazima watakulipisha lkn kama unakwenda tu Baharini yaani unaweza ukazunguka ufukweni na hakuna atakayekuzuia, ina maana unaweza kutembea ktk beach kwa beach na kuogelea bila ya kikwazo lkn kama unataka kwenda kukaa kwenye vibanda au viti walivyoviweka hapo ni lazima watakulipisha, au kama unataka kwenye kukaa na kusikiliza mziki waliouweka ni lazima watakulipisha!
Mimi kila siku natembea beach napita mahoteli mengi tu beach kwa beach na huwa naamua kuogela hata mbele ya Hoteli na hakuna wa kunizuia maadamu sijatumia huduma zao mimi niko ufukweni tu na situmii geti lao kuingia bali napita ufukweni ndicho kilichomaanishwa!

Jaribuni kumuelewa Raisi Magufuli kwanza anavyomaanisha vinginevyo mtampa wakati mgumu sana!
 
kinachoshangaza ni pale unaposikia hata mtu asiyekuwa na kazi,kwanza anakuomba hela alafu anakuambia hapa kazitu,
 
Mimi nafikiri nchi hii kuna sababu kwanini ni moja kati nchi zenye IQ ndogo sana Duniani hivyo Raisi Magufuli ana kazi kubwa sana kwa sababu anaongoza watu wenye IQ ndogo kama wewe!
Waliposema fukwe zote ni bure haijamaanisha kuingia Hotelini, kama unakwenda Hotelini na kutumia huduma zao ni lazima watakulipisha lkn kama unakwenda tu Baharini yaani unaweza ukazunguka ufukweni na hakuna atakayekuzuia, ina maana unaweza kutembea ktk beach kwa beach na kuogelea bila ya kikwazo lkn kama unataka kwenda kukaa kwenye vibanda au viti walivyoviweka hapo ni lazima watakulipisha, au kama unataka kwenye kukaa na kusikiliza mziki waliouweka ni lazima watakulipisha!
Mimi kila siku natembea beach napita mahoteli mengi tu beach kwa beach na huwa naamua kuogela hata mbele ya Hoteli na hakuna wa kunizuia maadamu sijatumia huduma zao mimi niko ufukweni tu na situmii geti lao kuingia bali napita ufukweni ndicho kilichomaanishwa!

Jaribuni kumuelewa Raisi Magufuli kwanza anavyomaanisha vinginevyo mtampa wakati mgumu sana!
Umeeleza vizuri tuu kuhusu hayo matumizi ya fukwe na ruhusa yake. Umeharibu tu hapo ulipotumia tena jina la Magufuli kwamba anapewa wakati mgumu
 
Wapizani Tz Ni ngenge la wahuni Tu na watu WA vijiweni especially wanaojiita wasomi. Mambo yao hovyo hovyo Tu wanatetea upumbavu haswa CDM. CUF Na ACT wanaafadhali sera zao Ni nchi kwanza. CDM Ni upuuzi kqbisa mtu ueyote kwenye akili timamu huwezi kukaa nqo haya dk 2 kqbla hujachapa mtu Kofi.
 
Back
Top Bottom