Serikali ya Magufuli imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa

Sasa kama 1.5 hazionekani kwenye vyama nako ccm 12b cdm 7b hii inchi tumpe nani sasa mbona shida kila upande
Usikate tamaa ndugu. Wote hao wajibu hoja zao. Tatizo nani atashinikiza majibu sahihi yapatikane? Polepole tutaelimika, hongera kwa CAG.
Internationale De chato,

Rwanda Le footballer de internationale sport ground

Aaah hamjui zimejenga hayo juu bila kibali
 
labda matumizi yalikuwa kama ifuatavyo
ujenzi chato international airport-500b
ununuzi wa wabunge na madiwani - 500b
 
Nami najiuliza hawa wachimba madini ukaa aridhini ndo kwao . Je hawezi chimba wakapata njia nje ya ukuta
 
.
sketch-1523899613257.jpg
 
Iundwe tume ya bunge kama tumme ya Richmond tutagundua tuu na mwizi atawajibishwa kama enzi zile hamna namba
 
Back
Top Bottom