Serikali ya Magufuli imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa

Jamaa kaingizwa mkenge wa kuleta majibu kwa umma,
Kuna siku msibani nakumbuka niliwahi kuambiwa nikatoe tangazo kuwa hakuna chakula halaf ukizngatia hapo kabla ya kwenda kuzika watu waliambiwa twende tukazike tukirud ndio tule chakula sasa mara watu wamerudi kutoka msibani wazee wenzangu wananiita wananituma niende nikawaombe radhi niwaambie waungwana HAKUNA CHAKULA. Mimi nlikaa nkajfikiria nilitoka mpk nje nakawaangalia waungwana nkapga mahesabu na kuchanganya akili nkaona hapana bora kuchukiwa na hao wachache walikuwa wamenituma kuliko kujipotezea heshima mbele ya waungwana hawa wanaosubiri msosi,nilivaa viatu nilipitiliza hyooo bila kusoma chochote.
Hta CAG-remix angetulia tu asingeleta "mark board"
Hahaa mkuu nimecheka sana. CAG-remix hana akili hizo...
 
Mayenga contructions ndiyo ina jenga na kukata ati majengo ya serikali. Guess who ones it????:D
Kwa taarifa yako ni kwamba hata baadhi ya kampuni zinazo supply vifaa kwenye ujenzi wa SGR (reli) ni za wabongo. Walichofanya wameenda kufungua huko huko Uturuki na kuwa mawakala ili ionekane vifaa vinatoka huko kumbe hela wanajilipa wao. Awamu hii acheni jamani.
 
Mkuu huyu hakuja kurekebisha bali kaja kuiba na ndo maana ameweka dotto pale ili wajijengee himaya ya wizi kwa siri,sehemu zote zenye mambo ya fweza kawaweka ndg zake either mjomba,binamu au basi msukuma yeyote tu
Uliza wizi kwenye SGR utalia...
 
Mkuu huyu hakuja kurekebisha bali kaja kuiba na ndo maana ameweka dotto pale ili wajijengee himaya ya wizi kwa siri,sehemu zote zenye mambo ya fweza kawaweka ndg zake either mjomba,binamu au basi msukuma yeyote tu
acha kudangany watu, jpm yuko vizur sana sema nyie CDM hamtaki maendeleo ya nchi
 
so what? tuambie inajenga nini au ingetosha nyongeza ya mshahara wa sh ngapi kwa wafanyakazi waliopo, unazungumzia kutandika noti
Hilo la mshahara unaweza kuliongelea hata wewe lakini kwa nyongeza fedha hii ikigawanywa kwa watanzania wote kila mmoja atapata 30,000 na ikigawanywa kwa binadamu wote duniani kila mmoja atapat sh.200/-.
 
Serikali iliyoingia ikakuta issue ya lugumi ni moto, ESQROW ni moto, lakini ikazipotezea huku kila siku ikihadaa wasiojielewa kuwa inapambana na mafisadi.....hivi mnategemea ifanye nini zaidi ya kuiba?!
 
nilisema jana humu ni ujinga kuamini hizi hela zimeibiwa na watu wawili au watatu.
 
so what? tuambie inajenga nini au ingetosha nyongeza ya mshahara wa sh ngapi kwa wafanyakazi waliopo, unazungumzia kutandika noti
Huna akili kabisa. Kwa kukusaidia hiyo trillion 1.5 inaweza kujenga Vienna 10 vya kisasa vya mpira wa miguu kama kile cha taifa na chenchi ikabaki. Uwanja wa taifa ulijengwa kwa USD million 53 ambayo kwa exchange rate ya sasa n kama tsh billion 120 hiv
 
Kuna watu wamejipa kazi ya kuijibia serikali kuhusu pesa ambazo hazijulikani matumizi yake ya T1.5, nimekuwa nikifatilia mjadala wa hizi pesa mpaka sasa hakuna majibu yeyote kutoka serikalini kama mtuhumiwa namba moja.kuna uswahili na ubabaishaji mwingi kuhusu hizi pesa ziko wapi?
Hili jambo halitaki siasa tunataka majibu ya hizi pesa zimefanya kazi gani kwa idhini ya nani manake bungeni hazijapita na kama mlizitumia kiujanjaujanja pia mtuambie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom