SoC04 Serikali na Wananchi washirikiane kutatua changamoto katika elimu

Tanzania Tuitakayo competition threads

Edson Eagle

Member
Apr 20, 2024
29
11
Tanzania bado tuna changamoto katika suala zima la elimu ikiwa ni pamoja na mazingira mabovu ya kujifunzia, uchache wa vifaa bora vya kufundishia nakujifunzia, uchache wa shule katika baadhi ya maeneo hususani vijijini.

Katika Tanzania tuitakayo serikali kwa kushirikiana na wananchi tunatakiwa kuhakikisha tunatatua changamoto kama hizo ili kuweka ubora nakupiga hatua katika suala la elimu nakutengeneza wasomi wenye uwezo na ujuzi mkubwa.

Naipongeza Serikali kwa kubadili mitaala ya elimu hiyo ni moja kati ya hatua.

rural school in Mtwara Tanzania.png
 
Edsoni mdogo wangu unajitahidi kuandika.
Jitahidi ukamilishe idadi ya maneno pia ikiwa unayo nia ya kushinda.
 
Back
Top Bottom