Serikali na nchi kwa ujumla inapitia katika kipindi cha mpito: makinda

Ah wapi wewe wala hujawahi kuwa chadema wewe! Mpambanaji gani anakata tamaa haraka hivo? Unafikiri Chadema ni malaika kwamba hwakosei? wewe gamba tu. Tunachotaka hapa ccm iondoke whether chadema watachukua nchi au chama kingine lakini tumeshaichoka ccm, tunataka mabadiliko!

kwa hiyo kwa vile huipendi ccm na lazima iondoke so ni bora cuf-uamsho ichukue nchi sio??
 
Wewe tena? Mbona msimamo wako unajulikana wazi!hujawahi kuwa rafiki wa chadema wewe ni petro msaliti chama.

:biggrin1: tatizo wanachama wa chadema fungukeni...mnapenda sana chama kiasi ambacho hata kikikosea mnaona hakijakosea, kikiwa criticised mnakuja juu...hii ni demokrasia chama kikiwa kinaelekea pabaya inabidi kikoselewa ili kijirekebishe...msiwe tu mnasupport chama hata kama kinafanya madudu!! nyie vipi??!! Kuna yule mbunge wa ccm anaitwa DEO yeye ccm wanamshambulia kwa sababu anakosoa chama...wabongo hatuna akili ya kufikiria kua pengine yule deo anakosoa chama chake kwa sababu anakipenda na anataka kibadilike mienendo yake..sasa watanzania tukikosolewa basi tunatukanwa tunachukiwa badala ya kufikiria kwa nini mtu kanikosoa na ni nini nifanye ili tubadilike tupendeke na tue na mienendo mizuri...
 
Back
Top Bottom