Serikali - Magari ya uchafu na mabasi ya UDA ni chakavu

Mess

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
661
181
Magari chakavu ya uchafu (ya halmashauri) na UDA yanasababisha ajari nyingi sana barabarani, ukiona magari ya taka kwa wale wanaoishi ukonga wanajua jinsi yale magari ambavyo yameshasabaisha ajari nyingi mbaya kabisa. Mabasi ya UDA ukiyaona ni chakavu sana sana, sasa serikali inatoa mfano gani kwa watu wengine? Na watu wa usalama haya magari huwa
 
Back
Top Bottom