Serikali kuzima moto kwa petrol na mkono wa chuma Tarime...!

Mr. Masasi

Member
May 12, 2011
53
4
Ama kweli mwenye nyumba pia aweza kuwa mpangaji ndan ya nyumba yke, haya tumeweza kushuhudia hapa tarime. Hivi serikal iko kwa ajir ya kulinda hawa wanaojiita wawekezaji au wananch wake? Kampun ya BARICK inayomilik mgodi wa north mara inamilik migodi mingine kma bulyanghulu,buzwagi na tulawaka huko biharamulu ni kampun ambayo imekuwa ikipewa kila mgod unaonekana una madin ya kutosha. Ki ukwel nimewah kufanya kaz ktk huu mgod wa north mara, nimeshuhudia matendo ya kinyama tuliyokuwa tukifanyiwa ss wafanyakaz pamoja na wakaz wanaozunguka mgodi. Wale wacanada kwa kibarua yyte anaweza akampiga kibao na wala usimfanye chochote kile. Suala la kufukuzwa kaz ni muda wowote anapojisikia mzungu. Kinachonishangaza huyu muwekezaj ana incentive and tax exemption inayofikia asilimia 33.24 nikiwa na mana ya kwamba, endapo ata complain kwamba sikuweza kuzalisha kwa sababu ya tatizo la umeme au sikuwa na vifaa vya kuchimbia madin. Cha kushangaza kuna udongo wenye madin huwa unasafirishwa kupitia nairobi wa jf. Kiukwel hii co siasa kwa mtu mwenye machungu na nchi yake, tunamuomba Ngeleja na kamishna wa madini Dr Kafumu wajiuzulu kwani hakuna wanachokifanya. Madin huchangia ktk budget ya Tanzania kwa 4.68% tofauti yke ndogo sana na mchango wa wafanyabiashara watatu wa Tanzania akina mengi, bakheresa na manji. Si ni bora migodi ikafungwa kuliko kutuachia mashimo na kuuwa wananchi? Mh rais nchi ni yetu sote na ww tumekupa dhamana, tuhurumie tumechoka.
 
Nchi ishauzwa siku nyingi mno. Viongozi wetu ndio wanaopata share kutoka kwenye migodi hiyo. Tufanyeje tunaingia mikataba mpaka inayokiuka sheria za kimataifa. Mungu amlaze pema Mangungo wa ..................... bora yeye kuliko Ngeleja ambaye ana digrii ya sheria
 
We yaani Mengi, Manji Bakhresa na Rostam wanatoa kiasi karibu sawa na migodi yote? NAZIDI KUICHUKIA CCM. I Hate you greens na magamba yenu
 
Back
Top Bottom