Serikali izuie matumizi ya iPhone, tulinde maadili yetu

Dokta Uchwara

JF-Expert Member
Apr 29, 2022
1,371
3,146
Sijui serikali inasubiri nini, ukizingatia kwamba kampuni inayounda simu za iPhone inamilikiwa na watu wenye utata wa kijinsia.

Na sisi kama Tanganyika tumedhamiria kulinda maadili yetu kwa jasho na damu. Lazima tupinge kweli kweli hadi mishipa ya shingo ipasuke.

Ni unajisi, hatuwezi kuruhusu matumizi ya iphone huku tukijua kuwa waundaji wake wanajihusisha na yale maswala! Kwanini? Turudi posta na kwenye umizimu.

Hatuwezi kukataa nguruwe kisha tukala mchuzi wake!!! Kwani mkemia mkuu wa serekale alisemaje? Kuna vimelea vya ushoga vyenye muundo wa bakteria ambavyo vimeunganishwa na iPhone kupitia pafyumu za mabeberu.

Mimi na wanakijiji wenzangu wa ardhi ya mbambadu tumedhamiria kupambana na kila picha ya upinde tutakayoiona popote hata kwenye gazeti. Tutafoka.

Serikali ya mama samia ihakikishe inafungia simu zote za iphone. Tulinde MILA zetu za kitanganyika.
 
Sijui serikali inasubiri nini, ukizingatia kwamba kampuni inayounda simu za iPhone inamilikiwa na watu wenye utata wa kijinsia.

Na sisi kama Tanganyika tumedhamiria kulinda maadili yetu kwa jasho na damu. Lazima tupinge kweli kweli hadi mishipa ya shingo ipasuke.

Ni unajisi, hatuwezi kuruhusu matumizi ya iphone huku tukijua kuwa waundaji wake wanajihusisha na yale maswala! Kwanini?

Hatuwezi kukataa nguruwe kisha tukala mchuzi wake.

Mimi na wanakijiji wenzangu tumedhamiria kupambana na kila picha ya upinde tutakayoiona popote hata kwenye gazeti. Tutafoka.

Serikali ya mama samia ihakikishe inafungia simu zote za iphone. Tulinde MILA zetu za kitanganyika.

Ndio maana hatuendelei….Tuna akili za hivyo sana!
 
Sijui serikali inasubiri nini, ukizingatia kwamba kampuni inayounda simu za iPhone inamilikiwa na watu wenye utata wa kijinsia.

Na sisi kama Tanganyika tumedhamiria kulinda maadili yetu kwa jasho na damu. Lazima tupinge kweli kweli hadi mishipa ya shingo ipasuke.

Ni unajisi, hatuwezi kuruhusu matumizi ya iphone huku tukijua kuwa waundaji wake wanajihusisha na yale maswala! Kwanini? Turudi posta na kwenye umizimu.

Hatuwezi kukataa nguruwe kisha tukala mchuzi wake.

Mimi na wanakijiji wenzangu wa ardhi ya mbambadu tumedhamiria kupambana na kila picha ya upinde tutakayoiona popote hata kwenye gazeti. Tutafoka.

Serikali ya mama samia ihakikishe inafungia simu zote za iphone. Tulinde MILA zetu za kitanganyika.
Itabidi izuie hata computer za mac ambazo zinatumiwa zaidi na watu wa graphics designing, movies na madesigner kibao.
Itabidi pia ifungie Google maana kila inapofika siku ya lgbt huwa wanaweka kibendera chao kwenye logo ya Google.
Itabidi pia wapige marufuku bidhaa za samsung maana nao wanaunva mkono pride National Coming Out Day 2021 & LGBT History Month: Samsung Employees Share Their Stories
In general itabdi wapige marufuku bidhaa karibu zote za makampuni makubwa ya nje... Swali je, tutaweza?
 
Naunga mkono hoja.

Vile vile wafungie maonesho yote ya mpira wa miguu kutoka uRaya
 
Back
Top Bottom