JosephNyaga
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 291
- 232
- Thread starter
- #81
Mkuu una BUSARA sana, Mungu akubariki..Badala ya kuhamasisha ubunifu wa vijana wenye na kuwashindanisha kuwaandalia zawadi na kuwapongeza wanaofanya vizuri .
Tumekazana kuwapelekea wacheza nusu uchi na kuhamasisha ngono kuwalazimisha kuimba imooo hata bila kujua maana yake
Ndio maana Trump.anasema tutawaliwe tena maana sijui ni lini tutajikwamua na kuwa na utamaduni wetu na kujitengenezea utaratibu wetu wa maisha kama taifa.
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app