Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Serikali ya Tanzania inapoteza fedha nyingi kila mwaka kwa kutokuwa na ujasiri wa kumrudisha mjusi aliyepelekwa ujerumani mwaka 1918.
Pamoja na mapato hayo kila mwaka watalii wapatao 500,000 wanaotembelea makumbusho hayo wangeweza kuitembelea Tanzania,kujionea mabaki ya mjusi huyo aliyetokea kusini mwa Tanzania.Maelezo hayo yalitolewa na Membe bungeni,alisema mjusi huyo mwenye urefu wa mita 22,na uzito wa tani 250 amekuwa kivutio kikubwa ujerumani,alisema mchakato wa kumrudisha sio kazi rahisi kwa sababu wajerumani bado hawajaonyesha nia ya kufanya hivyo:
My take;Serikali inashindwa nini kurudisha mabaki ya huyu mjusi(dinosour),ilihali waliweza kurudisha fuvu la Mkwawa?