Serikali inahujumu Mawasiliano waziwazi. Huwezi kulazimisha mtu atumie Laini moja wakati Telecom Companies are not stable.

Kwani kale kampango kakutumia line moja ambayo line hiyo hiyo una let say voda,airtel,halotel etc uliishiaga wapi (MultLine) au ilikuwa danganya toto?
 
Laini moja ndio mpango mzima, unapopinga toa sababu za msingi achana na utoto!

Unajua kama biashara zako mjini hauwezi ona umuhimu wa kuwa na line zaidi ya moja, kuna mikoa ukienda hakuna network za voda unakuta ni airtel tuu, vijiji vingi voda na tigo hakuna na kama unabiashara ya mazao maeneo hayo na uko na line moja ambayo haina mawasiliano je utafanyaje??? Pili kama wanataka kuweka line moja waweke viwango vya kupiga mitandao yote kwa bei moja iwe mtandao mmoja au kwenda mwengine. Hii inamsaidia walau mwananchi kuweza kumudu gharama za mawasiliano


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom