Serikali imenunua tena mashangingi 26 mapya kimya kimya!

si wanajua hatuna cha kuwafanya, kama kura wataiba kama tukileta fujo jeshi na polisi na mahakama watawalinda lakini haya yote yana mwisho endapo sisi wananchi tutaamua.
 
Sio kweli kuwa imeyanunua kimya kimya, tenda ilishatangazwa zamani mara baada ya uchaguzi wa 2010 na Toyota Tanzania Ltd ndio walishinda!.

Kila miaka 5 mitano serikali inayoondoka huondoka na magari yao na serikali mpyahuja na mapya!. Hata wabunge japo wangi wamerudi wale wale, zile milioni 100 za kununulia gari jipya kila mbunge amepata!. Mwaka mmoja kabla ya kuvunjwa bunge, Spika Sita alinunuliwa benzi mpya S Class 500 nyeusi. Mama Makinda naye kanunuliwa mpya S- Class 350!.

Wakuu wa wilaya mpya, wale manaibu wapya na wajumbe wa Kamati ya Kukusanya Maoni ya Katiba pia nao mashangingi mapya ni stahiki zao!.
benz s class ya sitta na mama makinda ni hiyo hiyo s class 350. kuhusu hiyo s class 500 ni uongo
 
kaka hebu jivue gamba la moyo vaa gwanda hadharani usiogope
unafaa sana kutangaza sera za chadema kwa kushirikiana na Makene
ubunge pia unauweza
najua huna chama kwa sasa kama sijakosea

t
Kwa vile Watanzania huwa wanawachagua watu kutokana na kuwatazama usoni na kuyasikiliza maneno yao matamu, majaaliwa ya CCM kuendelea kutawala ile miaka 50 mingine tuliyoelezwa humu, yanategemea atajayesimamishwa na sio sio matendo ya CCM na serikali yake katika miaka 50 iliyotangulia!.

Japo matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno, Watanzania walio wengi huridhika na maneno matamu ya uwongo na hadaa za CCM mwaka hadi mwaka, ukijumlisha na ile hali ya umasikini uliotopea wa Watanzania walio wengi, zile zile T.shirt na kofia, na ile shibe ya siku moja ya kuamkia siku ya election ave, inatosha kutuletea matokeo yale yale nasi tukiendelea na nyimbo zetu zile zile huku miaka ikizidi kukatika!.

Huu ni sehemu ndogo tuu ya ukweli mchungu tunaousubiria 2015!.

"Mark my words"!.

God Bless Tanzania.

Pasco.
 
jamani wengine tuna pressure hayo mambo mengine ya selikali hii dharimu msiyalete humu mtatuua
 
Wakati wote ccm kikwete na serikali yao hutenda tofauti na wasemavyo. Maisha bora kwa kila mtz sasa tunaona umasikini wa kutupwa zaidi kwa watz huku tukishuhudia maisha bora kwa kila fisadi kikwete na familia yake wakiwemo
 
Mungu atusaidie maana haya mambo yanatisha sana na
hamna kitu ambacho kinaudhi kama kutowajali wananchi
 
Kwa vile Watanzania huwa wanawachagua watu kutokana na kuwatazama usoni na kuyasikiliza maneno yao matamu, majaaliwa ya CCM kuendelea kutawala ile miaka 50 mingine tuliyoelezwa humu, yanategemea atajayesimamishwa na sio sio matendo ya CCM na serikali yake katika miaka 50 iliyotangulia!.

Japo matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno, Watanzania walio wengi huridhika na maneno matamu ya uwongo na hadaa za CCM mwaka hadi mwaka, ukijumlisha na ile hali ya umasikini uliotopea wa Watanzania walio wengi, zile zile T.shirt na kofia, na ile shibe ya siku moja ya kuamkia siku ya election ave, inatosha kutuletea matokeo yale yale nasi tukiendelea na nyimbo zetu zile zile huku miaka ikizidi kukatika!.

Huu ni sehemu ndogo tuu ya ukweli mchungu tunaousubiria 2015!.

"Mark my words"!.

God Bless Tanzania.

Pasco.

Pasco, Pasco,

Unakumbuka kuhusu Arumeru? ulisema nini?
 
benz s class ya sitta na mama makinda ni hiyo hiyo s class 350. kuhusu hiyo s class 500 ni uongo
Unamaanisha Mama Makinda anatumia malombo ya Sitta?. Then you must be right, that means S-class 500 ya Sitta ni personal?, sio asante ya uspika?.
 
Kwa vile Watanzania huwa wanawachagua watu kutokana na kuwatazama usoni na kuyasikiliza maneno yao matamu, majaaliwa ya CCM kuendelea kutawala ile miaka 50 mingine tuliyoelezwa humu, yanategemea atajayesimamishwa na sio sio matendo ya CCM na serikali yake katika miaka 50 iliyotangulia!.

Japo matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno, Watanzania walio wengi huridhika na maneno matamu ya uwongo na hadaa za CCM mwaka hadi mwaka, ukijumlisha na ile hali ya umasikini uliotopea wa Watanzania walio wengi, zile zile T.shirt na kofia, na ile shibe ya siku moja ya kuamkia siku ya election ave, inatosha kutuletea matokeo yale yale nasi tukiendelea na nyimbo zetu zile zile huku miaka ikizidi kukatika!.

Huu ni sehemu ndogo tuu ya ukweli mchungu tunaousubiria 2015!.

"Mark my words"!.

God Bless Tanzania.

Pasco.

Pasco,
I think you are out of touch. Watanzania wamebadilika. Utashangaa mwenyewe 2015.
 
kaka hebu jivue gamba la moyo vaa gwanda hadharani usiogope
unafaa sana kutangaza sera za chadema kwa kushirikiana na Makene
ubunge pia unauweza
najua huna chama kwa sasa kama sijakosea

t
Mkuu Lokissa, haiwezekani wote tukawa wachezaji, nani watakuwa watazamaji?. Sisi wengine huwa ni watazamaji wazuri tuu wa hili game, watching from far sides na ndio tawasaidia nyinyi wachezaji kuwaaambia direction ya upepo wa game, unaweza kukimbia mbio mbele ili kuwahi kufunga, kama hutageuka nyuma au kutoa pasi, ukiendekeza tamaa ya kufunga goli, unaweza kujikuta unaishia kuotea!. Sisi wengine ni wachezaji wazuri tuu off the pitch lakini uwanjani ni sifuri!.

Hata wachezaji wetu wengi humu jf, ubingwa wao huishia humu humu, ukiwaleta ground zero, ni watupu sana!. Si tumemshuhudia yule mwenzetu humu aliyeamua kuja ground zero?!. Mimi nashauri, wale wapiganaji wa humu jf, tuendelee kupigana humu humu, na wale wapigani wa ukweli tuu, ndio waingie uwanja halisi wa mapambano.
 
Pasco,
I think you are out of touch. Watanzania wamebadilika. Utashangaa mwenyewe 2015.
Mkuu Jasusi usitake kunitisha kuwa 2015 nitashangaa kama nilivyoshangazwa na matokeo ya Arumeru!, unamaana Watanzania sasa sio watu wa shukrani tena!, inamaana sio watu wa kulipa fadhila ya kura kwa t-shirt na kofia, na ile shibe ya pilau ya siku moja?!.

Mimi ni miongoni mwa wafaidika wa mfumo huu, tafadhali usinikoseshe usingizi, unamaanisha nianze kujitayarisha kabisa kutafuta pa kukimbilia baada ya 2015?!.
 
Mlivyokuwa mnalilia katiba mpya hamkujuwa kama ina gharama zake?
 
Mkuu Jasusi usitake kunitisha kuwa 2015 nitashangaa kama nilivyoshangazwa na matokeo ya Arumeru!, unamaana Watanzania sasa sio watu wa shukrani tena!, inamaana sio watu wa kulipa fadhila ya kura kwa t-shirt na kofia, na ile shibe ya pilau ya siku moja?!.

Mimi ni miongoni mwa wafaidika wa mfumo huu, tafadhali usinikoseshe usingizi, unamaanisha nianze kujitayarisha kabisa kutafuta pa kukimbilia baada ya 2015?!.
Pasco,'
Nakushauri utoke nje ya Tanzania kwa miezi miwili tu. Utakaporudi hata mtazamo wako utakuwa umebadilika kabisa.
Watanzania wa leo sio wale waliokuwa wanafurahia t-shirt na ubwabwa.
 
Back
Top Bottom