Serikali ijitahidi kuwajibika kwa wananchi wake

Juma. W

Senior Member
Mar 28, 2011
131
21
Wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma waliopandishwa vyeo kuanzia julai 2010 na kuendelea hawajalipwa nyongeza za miaka hiyo. Serikali ijitahidi kuwajibika kwa wananchi wake kama kweli lengo ni kuleta maendeleo.
 
sio huko tu, waulize walimu labda lowassa atakuja kulipa.
 
sio malimbikizo tu, madaraja pamoja na annual increment watu fulani fulani wanalipwa ndani ya taasisi moja wengine wanaambiwa eti wizara ya utumishi ndo imekataa kabisa na serikali ilishafuta nyongeza ya mwaka (annual increment). Kibaya zaidi wafanyakazi wa elimu ilelile wanaofanya kazi kwenye vyuo vikuu vya umma wanatofautiana kwa kiasi kikubwa sana cha mshahara yaani kati ya laki 3 na 8.
 
sio huko tu, waulize walimu labda lowassa atakuja kulipa.

serikali inakatisha tamaa ya kufanya kazi. wenyewe wanaweka vigezo wavitakavyo ili upande cheo, ukivifikia vigezo hivyo haupewi haki yako. wataalumu nchi hii lazima watazidi kuondoka tu na wale watakaobaki watakuwa buzzzz sana na kutafuta pesa. watoto wa nchi hii ndio waathirika wakubwa. nina uhakika tutakuja kupata graduates wasiojua hata walichosomea miaka mitatu. watanzania tunalazimishwa kufikia hapo. kinachosikisha ni kujua wengine wananufaika vipi na utajiri wa nchi hii wakati T A. wanadai hela ya nauli ya 2007.
 
Back
Top Bottom