Serengeti Advisers: Kwa nini hamumtosi Iddi Simba?

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Nyinyi kama kampuni ya vijana tena wazalendo inakuwaje mnamuingiza mtu kama Iddi Simba kwenye kampuni yenu changa?


About Us | Serengeti Advisers

Kwani kuna kitu gani cha ajabu anachokifanya Simba mpaka awe na umuhimu wa kuwepo kwenye hiyo kampuni yenu?
 
Nadhani huu ni ubaguzi wa Kidini

mnamsingizia Iddi Simba mambo mengi kwa sababu ni muislam

hakuna cha zaidi ya wivu tuu hapa

fikra mgando!! hata mungu hajatutenga kwa mfumo wa dini, wewe akili zako zinamatatizo ya uvivu wa kufikiria na kutafakali mambo ya dini na ukweli wapi na wapi? kasemwa chenge,lowasa,kalamagi na wengine kibao ulisikia issue ya udini ikihusishwa?
 
fikra mgando!! hata mungu hajatutenga kwa mfumo wa dini, wewe akili zako zinamatatizo ya uvivu wa kufikiria na kutafakali mambo ya dini na ukweli wapi na wapi? kasemwa chenge,lowasa,kalamagi na wengine kibao ulisikia issue ya udini ikihusishwa?
ndio maana yake

mtu analeta hoja halafu ana mtarget mtu mmoja

tena Muislam

ili iweje?
 
kwanini capt maliki panafric umeruka issue zote za yeye kuhusishwa kashfa ya sukari, kuonga wapiga kura allipokuwa mbunge na kashfa mbaya zaidi ya hivi karibuni ya UDA na kukimbilia moja kwa moja kwenye DINI. Does logic and reasoning apply to you at all ??
 
kwanini capt maliki panafric umeruka issue zote za yeye kuhusishwa kashfa ya sukari, kuonga wapiga kura allipokuwa mbunge na kashfa mbaya zaidi ya hivi karibuni ya UDA na kukimbilia moja kwa moja kwenye DINI. Does logic and reasoning apply to you at all ??
Hakuna mahakama iliyomhukumu

Hapa naona Serengeti wanakuwa targeted unfairly
 
hivo vichwa viwili,ami na iddi simba ni adimu sana tatizo ni hilo jina kuwa tayari limeharibika.
 
hakuna mahakama iliyomuhukumu ?? hakuna mahakama iliyomuhukumu chenge, mkapa,lowassa, idrisa rashid na wengineo wengi lakini ukimuuliza mtanzania yeyote atakwambia kwamba wahusika ni wezi. by the way kwenye kashfa yake ya sukari tume iliundwa na kiongozi wake alikuwa jaji Luanda na Iddi Simba alihusika kuisababibishia hasara serikali ya zaidi ya bilioni 10 kwenye illegal deal zake alizokuwa akizifanya na ndio maana alijizulu uwaziri ushahidi tosha wa kuwa guilty.
 
nafikiri hoja ya Tony saprano ni kwamba kwanini wamwingize kwenye bodi mtu ambaye ameusishwa na kashfa lukuki hapa Bongo. kwani credbility ya kampuni inaweza called in question kwa kuwa na mtu wa type hii. hivi tunavyoongea once again yuko kwenye serious investigation ya fraud na kujaribu kuliibia shirika la umma . na vile vile miaka ya nyuma alipokluwa waziri he had to resign in disgrace sasa mtu kama huyo mwenye historia kama hii kujiusisha na kampuni yeyote ni liability binafsi siwezi kujiusisha na biashara yeyote ambayo Iddi Simba anajiusisha nayo because of his deceptive business practice.
 
Lets see...
Serengeti ndio waliowaleta wachua ardhi Tanzania.............mmoja kati ya ardhi iliyouzwa kwa wageni ilikuwa ni Kambi ya wakimbizi......toka Burundi............Iddi Simba kwao ni Burundi...............(at least upande wa Baba yake).......japo mwenyewe hujiita Mmanyema................ndiye huyo huyo huyo aliyehusika na kashfa ya kua mashirika mbali mbali.......................Ami Mpungwe yeye ni mtu wa ATM Machine

Swali la msingi la kujiuliza ni WHO ARE THE (real )SERENGETI ADVISERS?

na je IDDI Simba pamoja na kashfa zote zile kwa nini hawa vijana wampe nafasi kubwa namna ile mle?
 
Back
Top Bottom