Serena William: Champion Forever

m_kishuri

JF-Expert Member
Jan 27, 2010
1,484
372
I believe its gratifying and exciting when an athlete comes back from a serious illness and setbacks to regain his/her top form. Serena has certainly done that. kwa kweli anastahili pongezi.

slide_237341_1196854_free.jpg


slide_237341_1196780_free.jpg


article-2170134-13F76EB7000005DC-573_634x473.jpg


article-2170134-13F7830B000005DC-641_634x443.jpg


article-2170134-13F783FB000005DC-80_306x423.jpg
 
Nimependa alivomachisha iyo rangi ya zambarau/violet
 
Mwingereza amelia sana hadi anatia huruma ni uwezo tu!!pole Murray!hongera Serena
 
huyu dada pamoja na ndugu yake venus nawapenda sana,na kinachonifurahisha hawana skendo za tabia mbaya!baba yao mungu azidi kumbariki kwa kuwalea vema
 
Alikuwa na ugonjwa gani,? halafu mbona kama ni single lady.....mmmh ama hauziki?
 
Alikuwa na ugonjwa gani,? halafu mbona kama ni single lady.....mmmh ama hauziki?

Madame X, Aisee huyu binti aliponea chupuchupu. Yaani siku zake zilikuwa hazijafika kwa jinsi alivyoumwa. a single lady, indeed....naona Rapper Common alishindwa kuhimili mzigo, ikabidi aubwage. Kwa habari zaidi angalia hapa chini:

"A few days after winning Wimbledon for the fourth time in 2010, Serena Williams cut both feet on broken glass while leaving a restaurant in Germany. She needed two operations on her right foot. Then she got blood clots in her lungs, for which she needed to inject herself with a blood thinner. Those shots led to a pool of blood gathering under her stomach's skin, requiring another procedure". UK News and Opinion - The Huffington Post United Kingdom

 
Alikuwa na ugonjwa gani,? halafu mbona kama ni single lady.....mmmh ama hauziki?
Woman without a Man is like a lost property without a owner - Whoever can declare it is his;
a Man without a woman is like a lost property with a owner - It will just be found.
 
mmeon jinsi y kulea watoto wa kike eeehn, sio mkipata watoto wa kike mnaanza kulalamika na kujidai nataka mtoto wa kiume. wbongo tujifunze hapo ukiwa na watoto wa kike walee km inavyopasa watoto walelewe na sio ksema hawa wa kike wtaolewa tu. wape chances zote watakuja ku excel tu. huyu baba pengine angepewa mtoto wa kiume wangekuw ma gangsters tu huko, na kuishia kubwia unga. Hongera sana Serena!
 
Back
Top Bottom